Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji

Kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufahamu kuwa Sexless ni mtupu yani empty set kichwani kabisa.

Hii ni hadaa, na ukangaufu wa akili.

Unaowachota akili hawajui hata Kodi ni nini!

Tanzania imejaa wajinga wengi sana.
 
Case closed kwa hii comment
 
Tofauti ya kati ya makubaliano na mkataba
Makubaliano ni uchumba; Mkataba ni ndoa
Makubaliano yanaweza kuwa na muda au yasiwe na muda, mkataba lazima uwe na muda. Muda wa mkataba wa ndoa ya kidini ni hadi kifo cha mmojawapo; huku baadhi ya mikataba mingine ya ndoa zisizo za kidini ina muda wake wa makubaliano
 
Wajinga ndio waliwao, mnafikiri DP World itakufanya usilipe kodi
 
Wajinga ndio waliwao, mnafikiri DP World itakufanya usilipe kodi
DP world watakuwa wanatazamiwa kufikia uwezo wa kukusanya trilioni 6 kwa mwezi.

Makusanyo haya yakifikiwa viwango vya Kodi vitapunguzwa bei za magari zitapungua na watanzania wataishi kama peponi
 
DP world watakuwa wanatazamiwa kufikia uwezo wa kukusanya trilioni 6 kwa mwezi.

Makusanyo haya yakifikiwa viwango vya Kodi vitapunguzwa bei za magari zitapungua na watanzania wataishi kama peponi
Ndio maana nasema wajinga ndio waliwao, ulipiwe kodi na mwarabu mjomba wako huyo?
 
DP world watakuwa wanatazamiwa kufikia uwezo wa kukusanya trilioni 6 kwa mwezi.

Makusanyo haya yakifikiwa viwango vya Kodi vitapunguzwa bei za magari zitapungua na watanzania wataishi kama peponi
Unaota? Hao dp world mapato kwa mwaka bandari ni $17.1billion ambayo ni sawa na trillion 40
Tanzania kwa mwezi aingize trillion 6? Ambayo kwa mwaka ni trillion 72?

Wabongo nyoko sana
 
Ndio maana nasema wajinga ndio waliwao, ulipiwe kodi na mwarabu mjomba wako huyo?
Bandarini ushuru wa forodha tu unafika trilioni 6. Sasa Kodi ya nn tena? Sijui unaelewa,?

Ngoja mwarabu aje tuviondoe hivyo vikampuni uchwara vyenu vinavyotuibia hapo bandarini uone mambo yatakavyokuwa mazuri.
 
Aloo tuwape na TRA sasa..
 
Mara nyingine unajiuliza kama mtu anayeongea huwa anawaza nini na kama ni kweli anachowaza ndicho anachosema au anaamua kuchangamsha baraza au kupotosha...

Unaagiza gari unalipia Cost including freight (hio ni constant wala haitabadilika kutokana na ujio wa mtu yoyote)

Unalipia Kodi (ambayo inatozwa na TRA) hii haihusiani na makato mengine yoyote ya Bandari..., Sasa swali linakuja ushuru wa bandari wa sasa ndio unaleta difference ya ushuru baina ya gari na bajaji (yaani haina uhusiano na makato ya TRA ambayo yanaangalia bei ya kununua, ukubwa wa engine na dumping fees) ?

Ndicho hicho unachowaza kichwani mwako au umeamua ku-insult our intelligence ?!!!
 
Iv ujasikia magari mazee yote yanapandishwa kodi iv unaongea nn aisee

Iv ujui aslimia 90% ya magari tunayoagiza bongo yanazidi miaka 7 na kendelea na kodi wamekwambia inaongezeka kwa 15 %
 
wallah lau kama ingekuwa hakuna issue ya ban i swear ningekutukana bonge la tusi acha tu niishia hapa,maana nmeishia tu kukusonya
 
Hivi unajua kikokotoo (calculator) cha TRA kwenye gari ni tofauti na inayotumika hata hapo Zanzibar tu? Achilia mbali nchi jirani sitaki kuzitaja. Ndiyo maana magari katk nchi nyingi zinazotuzunguka yako cheap!

Turudi kwenye hoja. DP World wakiweka mitambao yao meli zikawa zinakuja halafu ndani ya nusu saa maroboti yashamaliza kupakuwa meli zote na ushuru wote ushachukuliwa unadhani kwa mwezi watakusanya tozo na ushuru/tozo za bandari kiasi gani ??( Siyo chini ya trilioni 6).

Sasa kwa makusanyo hayo Kuna haja ya kuendelea na calculator ya TRA ya Sasa ya Kodi za magari??
 
Kwani DP WORLD kapewa na TRA duuh
 
Muongo mkubwa
 
Kwani DP WORLD kapewa na TRA duuh
TRA siyo msahafu useme sheria na viwango vya Kodi haviwezi kubadilika endapo DP. World watakuwa wanatupatia trilioni 6 kwa mwezi toka kwenye tozo na ushuru wa bandari
 
Kwamba calculator ya TRA itabadilika accordingly!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…