Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

Asilimia kubwa ya wakimbizi wa DRC walitokea kipindi cha First na second Congo war. Hawa wa sasa ni waporaji tu wanaovizia porini. Na wengine ni wapiganaji wa kikabila, kama ilivyo wafugaji na wakulima huku. Sehemu kubwa ya DRC maisha ni poa sana. kuna wachina kibao wako maporini wanachimba dhahabu huko.
 
Labda Wakenya wamepata sehemu ya kumega ardhi, ila sio Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakamege tu mradi watenge pesa za kufukua mabomu kwenye ardhi ya kongo Ardhi Yao iko kama ya Msumbiji na south Sudan kuna mabomu mengi sana ardhini .Waweza nyanyua jembe kulima ukishusha chini unakuta kuna kitu umegonga kama chuma kumbe bomu la ardhini lililotegwa na Askari waasi au Serikali wakipigana

Linakulipukia

Waende wakachukue Ardhi kongo sio kesi waende tu waachane na Ardhi ya Tanzania
 
Labda Wakenya wamepata sehemu ya kumega ardhi, ila sio Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda Wakenya wamepata sehemu ya kumega ardhi, ila sio Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya muda mfupi hii ardhi mnajivunia itakuwa haina thamani yoyote. Uwekezaji wa maana ukifanyika kwenye ardhi ya DRC utashusha kila kitu kuanzia sukari, mafuta(inafaa sana kwa mawese) mchele na kila kitu. Sasa utalima nini kwenye hizi savanna zetu wakati mazao bwerere yanatoka DRC?
 
Pointi ni kwamba DRC itaneutralize Kenya vs Tz sibling rivarly
 
Congo kuna waasi gani wa maana? Wale ni bandits tu wanaotafuta ugali.
Pambaneni na njaa mkiishinda ndo mje huku kwingineko. Mnajiita mko uchumi wa kati lakini mnakufa kila siku kwa njaa mliyoshindwa kuidhibiti miaka nenda rudi. Mkiiweza njaa hata raslimali za Congo mtaweza kuzitumia ipasavyo
 
Jumuiya ya Afrika Mashariki itapunguza sana migogoro ya Congo, maana kutakuwa na interest za moja kwa moja za kuleta amani maeneo ya mashariki ya Kongo ambayo ndio yenye migogoro na ndio yenye kunufaika moja kwa moja na Afrika Mashariki tena wanazungumza kiswahili
 
DRC mwenye matatizo lukuki ni sawa na kumsajili mgonjwa kwenye kikosi cha kwanza yeye kila siku ataonyesha ED ya daktari
Huwezi amini hii Afrika Mashariki ndio tiba ya migogoro ya mashariki ya congo

Kumbuka Mashariki ya Congo wanaongea kiswahili na ndio wanufaika wa moja kwa moja wa afrika Mashariki kuliko ile Kongo ya kinshasa

Sasa kuna interest ya moja kwa moja ya mashariki ya Kongo kuwa na amani kwa manufaa ya Afrika mashariki
 
Hata Lubumbashi wanaongea Kiswahili vizuri
 
Na wacongo ni wepesi kuhama kwao kuja nchi nyengine, hivyo basi ni dhahiri nchi yao haitageuka shamba la bibi tena wao ndio watahamia huku kwetu kuliko sisi tutakavyohamia kwao
 

Tz haina vita kama DRC usijisahaulishe tafadhali
 
Kwenye hii jumuiya kuna kura ya veto au ndio viroba vimerudi tena.
 
Ako na majirani wenye gubu na kisununu sana. Kumfikia Kwa uhakika na urahisi lazima upite TZ. Na pia hizo rasilimali kuzivusha nje Kwa usalama, uhakika na urahisi pia ni lazima upite TZ.

Tuchape kazi tuache kiburi Sasa tuchangamkie fursa.
Watanzania washamba sana. Kila kitu ni siasa na maneno matupu
 
Ipo kule Matadi magharibi mwa Congo DR kutokea bahari ya Atlantic.
Pale Kuna, uchochoro/mwalo... Sio bandari ya nchi kubwa kama Congo kujipigia kifua. Ndio maana Kwa upande wa kule wanategemea bandari ya Angola zaidi kuliko ya kwao.
 
hawa jamaa ardhi yao wanailinda kama tunavyolinda yetu. lakini pia halina utulivu nani ataenda kuwekeza huko??!!. hatakuwa na say kuizidi tanzania au kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…