Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

DRC yeye mwenyewe anashukuru atapata protection ya EAC hasa Tanzania kiulinzi kwa mwamvuli wa Afrika Mashariki
 
Unafikiri wawekezaji wanaogopa vita. Ndiyo kwanza wanakula na hao wababe wa kivita. Na pia si DRC yote ina vita. DRC ni kubwa kuliko EAC kabla haijajiunga. Sehemu nyingi ni salama. Kiburi cha wakwamishaji kimefika mwisho.
Umewahi kusikia muwekezaji Somalia? Utawala ukiwa mbovu tu wawekezaji wanakimbia, nani awekeze sehemu isiyo na uhakika wa amani?
 
DR Congo wanayo uwezo wa kuzalisha 100,000 MW ya umeme kiwango kinachotosheleza mahitaji ya umeme Afrika nzima-yes
enough clean energy to power Africa for ever and a day. Karibu DR Congo.
The DR Congo has the largest hydropower potential in Africa and one of the largest worldwide, with a technically feasible potential of some 100,000 MW. Only about 2.5% of this potential has been developed so far.
 
Yes, Mradi wa umeme wa maji wa Inga unapotential ya 40,000MW. Umeme wa kutosha Africa yote kusini mwa Sahara.
 
Wewe utakuwa mkenya maana sio kwa stress hizo. Mmegeuzwa misukule na kina kenyata wakakomba ardhi yote yenye rutuba. Msimamo yetu kuhusu ardhi ya watanzania iendelee hivyo hivyo kama unadhani huko drc utakwenda kujibebea ardhi unajidanganya.
 
Reactions: Oii
hajielewi huyo nyang,au aje kalemii au moba aone utitili wa tz walivyojaa
 
Viongozi wanaokumbatia ujinga na umaskini wa Tanzania wangekuwa wanaongoza Congo, wasingejiunga. Wangeleta visingizio mpaka mwaka 2050
 
Haya waambie na mizigo yao yote washushe kule bandari zao za maagharibi, wasitumie bandari za Tanzania.


Hapo sasa!
 
Haya waambie na mizigo yao yote washushe kule bandari zao za maagharibi, wasitumie bandari za Tanzania.


Hapo sasa!
Watu mna roho mbaya mpaka mpo tayari kujiharibia mipango ya maendeleo yenu wenyewe. Kwa mawazo haya inaonekana una roho kama ya mwendazake.
 
Viongozi wa Tz wamekuwa wakirudisha nyuma huu umoja kwa kusaini mambo na baada ya muda kuyageuka kama walivyoanzisha mchakato wa katiba yetu na ukaenda vizuri sana lakini wakaugeuka wenyewe.

Sasa acha tuendelee kufanya nafasi za balozi zetu nje kama sehemu ya kupumzishana na kunyamazishana badala ya kuweka watu wa kusaidia protocols za uchumi kama Kenya walivyoweza kutugeuza koloni lao kiuchumi

GODO wengi hawajui kama ni Mtz lakini ni miongoni mwa wachache wenye akili nyingi na hapa kamaliza kila kitu japo wengi huenda hawatamuelewa kwa sasa

 
Yes, Mradi wa umeme wa maji wa Inga unapotential ya 40,000MW. Umeme wa kutosha Africa yote kusini mwa Sahara.
Umuhimu wa nishati katika uzalishaji siyo jambo la kubishana. Kwa kweli upo umuhimu nchi za EA kushrikiana ili kufanikisha mradi wa Inga.


The Grand Inga project is a massive US$80 billion expansion to the existing 351-MW Inga 1 and 1,424-MW Inga 2 plants. The ultimate goal is to construct a complex capable of supplying the entire sub-Saharan region with a cumulative output capacity of 42,000 MW. The Democratic Republic of Congo is currently working to tender and begin construction of the project’s first expansion, called the 4,800-MW Inga 3 Basse Chute and Haute Chute components. Eventually the project could also include Inga 4-8.
 
Watu mna roho mbaya mpaka mpo tayari kujiharibia mipango ya maendeleo yenu wenyewe. Kwa mawazo haya inaonekana una roho kama ya mwendazake.
Siyo mleta mada mwenye roho mbaya?

Nisome vizuri utaelewa nilichokiandika kimekusidia nini, labda lugha mama kwako sio Kiswahili.
 
Hasa haya manyangau legelege na wapenda mteremko, mtalizwa sana kongo kenge hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…