Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #81
Kwani wamefanya kosa gani hadi wasitumie bandari za Tz?Haya waambie na mizigo yao yote washushe kule bandari zao za maagharibi, wasitumie bandari za Tanzania.
Hapo sasa!
Ukweli mchungu huu kuliko shubiri concentrated!Tanzania bado tuna Jeuri
Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona
Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC
Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote kikiwemo chako
Huyu mkenya sio Mtanzania.Inabidi elimu ya uzalendo itolewe darasani!
Strategic ya nhoko.We kiazi Mbatata Tanzania ni Strategic Country, na ndio alotumia ushawishi wake kumwingiza DRC.
Pili Tanzania ni nchi pekee yenye ushawishi wa kiusalama katika eneo la Maziwa Makuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujio wa drc ndo tulikuwa tunasubiri na pia jua kabisa ardhi ya Tz ni ya WaTz sasa mkwende drc maana mmezoea kujitekenya na kucheka wenyewe. Makunyaland bana shobo sanaaBinafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.
Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.
Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?
Labda watawasaidia kupunguza njaa kenyaHao hao War lords wanahitaji investors. Wao wanasupply ulinzi. War Lords kibao wa DRC wamejirasimisha, wana makampuni, na wengine ni wabunge kabisa. Ukiogopa shauri yako na uoga wako wa Ktz. Wakenya wamejaa kupiga biashara South Sudan watz wanakalia kusingizia vita.
Mmmmmm i like this oh c'mon🤓Tanzania bado tuna Jeuri
Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona
Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC
Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote kikiwemo chako
Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi.
Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa pamoja. Wana idadi kubwa ya watu na rasilimali nyingi sana. Tanzania siyo darling tena wa EAC.
Wewe unaonaje ujio wa DRC kwenye EAC?
Congo haitakuja kuwa na amani kamwe ,nasema haitakuja itokee iwe na amani kamwe!!!Huyu siyo mgonjwa, huyu ni tajiri ambaye ameshindwa kuutumia utajiri wake vizuri. Sasa amekaribisha wengine kushiriki.
Congo ina rasilimali gani ya kuwa Tajiri kuliko nchi zote?Congo haitakuja kuwa na amani kamwe ,nasema haitakuja itokee iwe na amani kamwe!!!
Sababu ni hii,NI nchi pekee duniani ambayo ni tajiri namba moja duniani kuliko nchi yeyote duniani,utajiri uliopo Congo haupo duniani kokote ni Kongo pekee,utajiri uliopo Kongo unaweza kuwatunza binadamu wote duniani kwa miaka 10 ,bila kiumbe yeyote kufanya kazi ,hapo ni kula na kulala binadamu wote duniani !! Thus why nasema Congo haitakuja kuwa na amani kamwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania bado tuna Jeuri
Kongo aridhi kibao kubwa kuliko yetu na Raslimali kibao kuliko Sisi ila kila utakapokanyaga mabomu na risasi za waasi zinarimdima kila kona
Sisi usalama na amani uko juu kuliko nchi yeyote ya EAC
Nenda kachukue ma hekari maelfu ya ma aridhi kongo hata bure uone mziki wake utaichukua at your own risk .Serikali haiwezi guarantee usalama wako dhidi ya Askari waasi walenga shabaha juu ya kichwa cha yeyote kikiwemo chako
Unahisi wanalima tu wenyewe bila kuwa na local alliances?Asilimia kubwa ya wakimbizi wa DRC walitokea kipindi cha First na second Congo war. Hawa wa sasa ni waporaji tu wanaovizia porini. Na wengine ni wapiganaji wa kikabila, kama ilivyo wafugaji na wakulima huku. Sehemu kubwa ya DRC maisha ni poa sana. kuna wachina kibao wako maporini wanachimba dhahabu huko.
Tutaituliza mkuu. Trust me.Congo haitakuja kuwa na amani kamwe ,nasema haitakuja itokee iwe na amani kamwe!!!