Ujio wa msanii Baba Levo unatufundisha tuwe na subira kusaka mafanikio

Hivi ni diwan wa wapi vile?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anasema akienda shishi food anakula anajigalagaza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilicheka sana ile anayosema shishi food ni brand yetu wote, halafu anasema kwa msisitizo

Halafu alipoulizwa kuhusu Uchebe, akajibu Uchebe yule mbwa yule... huku akiingia kwenye Uber.

Hata kama ni utani, kamzidi sana Uchebe kiasi cha kumshusha mno.
 
Halafu alipoulizwa kuhusu Uchebe, akajibu Uchebe yule mbwa yule... huku akiingia kwenye Uber.

Hata kama ni utani, kamzidi sana Uchebe kiasi cha kumshusha mno.

Fatilia maisha yako ndugu. Maisha ya watu, utani na habari zao zinakuhusu nini?
 
Halafu alipoulizwa kuhusu Uchebe, akajibu Uchebe yule mbwa yule... huku akiingia kwenye Uber.

Hata kama ni utani, kamzidi sana Uchebe kiasi cha kumshusha mno.
Kuna siku Uchebe katoa povu kuhusu baba Levo na Shishi kuwa karibu, na kuchimba mkwara mzito, Shishi na baba Levo waka reply kwa pamoja kwa kumcheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu Uchebe alikuwa anachukia serious, shishi nae anaachaje mtu anamtania mumewe vile aisee

Manamake mengine bana!!
Kutaniwa ataniwe mwingine, kipele kinamuwasha mwingine!!

Usiku wa Saa saba na dakika 11 kudiscuss maisha binafsi ya watu wasiowahusu!!

Ptuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…