Ujirani mwingine ni kero tupu

Ukimuazima mke ndio usahau kabisaaa
 
anaazima anaazima bado anaazima.. unamuazima TU!
 
Jirani wa hivyo anaweza kuku kondesha tu
 

Eneo unalokaa ndo shida, sio majirani, kama unaona sio eneo sahihi kwako, we hama, hamia kidogo chumba cha 65,000, hicho cha 30,000 lazima mshirikiane!!!!?? Ndo ujamaa kama tulivyoagizwa kwenye azimio la Arusha.
 
Jirani yako yupo humu?
Nipo hapa,


Cha kushangaza huyu jiran yangu anazungumzia mapungufu yangu tu lkn ya kwake hayasemi kwa mfano mara kibao tu anakujaga kusonga ugali ktk gesi yangu akidai ya kwake imeisha na akimaliza hasafishi jiko na kila asubuh ananikurupusha nimpe lift ktk Toyota stout yangu ya mjin haijalish ninaratiba ya kutoka mapema au sina


Alitembelewa na nduguze walikuwa wanalala kwangu mwez mzima na muda mwingine misos nawasevia lkn mzee mzima nimekula buyu sijamwambia yoyote yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…