Ujirani mwingine ni kero tupu

Huyo unamchekea!
Huwezi jua pengine jilani anatumia nguvu za kichawi kuomba basi mwenzangu na mimi anajikuta anatoa meno yote thelasini na nje ndani. Hii Dunia mkuu hii Acha tuu
 
Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe,imeandikwa
Jirani kama huyo fresh tu,na mimi nikifika kwake asbh sitoki mpaka nile chakula cha usiku ndio narudi kwangu
Win win situation philosophy [emoji1732][emoji16]
 
Jirani anaeazima kiberiti cha shilingi Mia huo ni uchawi,,,Bora aombe Moto tuu!!
Mkuu inatokea Huna hiyo shilingi 100 au unakuta unaenda kwa Mangi na 10k akupatie kiberiti cha sh 100 anakwambia chenji hana sasa utafanyaje kama siyo kwenda kuomba kwa jirani. Mkuu maisha ni kusaidiana Shida haichagui
 
Muombe chezo, nwa wewe uharibu kifuniko chake
 
Mweleze ukweli asipobadilika siku nyingine akikuazima mnyime.
 
Inaonekana unamazoea yaliyovuka mipaka. Hivi mtu anaanzaje kukuomba vitu kama hivyo?

Acha mazoea
 
Eneo unalokaa ndo shida, sio majirani, kama unaona sio eneo sahihi kwako, we hama, hamia kidogo chumba cha 65,000, hicho cha 30,000 lazima mshirikiane!!!!?? Ndo ujamaa kama tulivyoagizwa kwenye azimio la Arusha.
Tabia ni tabia tu atagonga tu nikama ngozi, anawashwa tu mpaka aombe au nikama ibada kwake.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo roho ya ubinafsi ikutoke. Kiberiti sh 100 tu unalalamika kweli. Brush yabuku.???.
 
Sasa kama unafanya yote hayo unashindwa nini kununua viberiti ukawa navyo kwako?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inatokea Huna hiyo shilingi 100 au unakuta unaenda kwa Mangi na 10k akupatie kiberiti cha sh 100 anakwambia chenji hana sasa utafanyaje kama siyo kwenda kuomba kwa jirani. Mkuu maisha ni kusaidiana Shida haichagui
Sasa ndiyo iwe kila siku? Wewe kila siku unapotumia huoni kama njiti zinapungua wakati unatumia kajiko kadogo ka gase?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndiyo iwe kila siku? Wewe kila siku unapotumia huoni kama njiti zinapungua wakati unatumia kajiko kadogo ka gase?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hivi kwa mf inatokea kiberiti chako kimelowa na maji na ukiangalia Huna hela ndgo, hivi utafanyaje kwa mfano eeeh? Ukizungumzia suala la kuomba kila siku hiyo na haiba ya mtu na mtu mkuu
 
Hivi kwa mf inatokea kiberiti chako kimelowa na maji na ukiangalia Huna hela ndgo, hivi utafanyaje kwa mfano eeeh? Ukizungumzia suala la kuomba kila siku hiyo na haiba ya mtu na mtu mkuu
Au wewe ndo jirani mwenyewe 🤣😆
 
Hivi kwa mf inatokea kiberiti chako kimelowa na maji na ukiangalia Huna hela ndgo, hivi utafanyaje kwa mfano eeeh? Ukizungumzia suala la kuomba kila siku hiyo na haiba ya mtu na mtu mkuu
Huyo mkuu kasema si kiberiti tu ni kila kitu, halafu ndiyo iwe kila mara?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi majirani zangu uwa hawanielewi.
Baada ya salam ndanii. Baada ya salam sipo nimetoka. kuna wakati bora nilale njaa lakini sio kuanza kujenga mazoea na majirani.
Utaambiwa unaringa na likitokea tukio lolote kama msiba hawakuambii
Wanafanya kukukomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…