mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Morogoro atafikaje baada ya push up za katoro saivi yupo hoiUnajua hata kichaa akiwa uchi huwa anaona kavaa nguo na anaona yupo sawa na wengine salio wazima, sasa ndo ninyi bavicha, mkijaza ka mkutano kamoja tayari mmeshinda.
Huko morogoro subilini babalao siku akitua huko ndo vibatari vyenu vitazimika.
Najua umenielewa...kazi iliyobaki ni juu yako either ufanyie kazi ushauri wangu ana la.Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Chadema ilisha kufa tangu 2015, kilichobaki ni futuhi tu. Kwa namna Chadema inavyo kwenda kwa sasa upo uwezekano ilisha kufa kabla ya ujio wa Lowasa.
Wewe jamaa kwani hujui Polepole katoa matokeo ya utafiti wao wa kisayansi kwamba mpaka dakika hii ccm inaushindi wa 85% ila sikujua sample space ya utafiti kaichukua wapi.Maana wananchi wanalia kwa kusaga meno,huwezi kuamini kuna watu wanalala na njaa na Kazi wanafanya ila pesa hawapati iwe anafanya serikalini au hata kwenye sekta binafsi.Mf. nasikia kuna wale wakutoa vyakula kwenye shule za serikali wanatoa huduma tu toka 2015 hawajalipwa nk nkCcm waliingia na matokeo mfukoni wakizani waliowafungia wasifanye mazoezi hawawezi kucheza na wao lakini 35'' tayari tundu lissu anaongoza 2-0
Ah ah ah.... chaleeeeeBaada ya push-up za Geita chaliii
Uvccm naona mnahamia bavicha mmoja mmoja kila siku. Karibuni tujenge nchi mpya chini ya Tundu Lissu.Maumivu yanayotupatapa wanaccm kutokana na huyu bwana ni kuusema ukweli unaouma. Huyu jamaa hasahau na wala hapindishi kitu. Yaani mkuki moyoni inaumiza sana ndio maana hatumpendi.
Ni kweli anapowaambia wananchi ukuaji wa uchumi wetu hauendani na maisha halisi ya wananchi, kweli wananchi wanakubali kwa sababu maisha ni magumu sana wao wananchi wanaijua hali hiyo. Sisi viongozi tunaifanya hatujui maisha kua ni magumu tunapindisha ukweli, sasa Lissu anachoma katikati.
Lissu anaposema vifaa vya ujenzi vimepepanda maradufu, sukari imepanda maradufu ndio ujue anachomaka kati kati. Polepole juzi nadanganya eti vitu havijapanda bei muongo mkubwa, nenda kaulize bei ya nguo ya 2014 kwa sasa usikie bei yake.
Ukweli mchungu, Lissu anawaambia watumishi wa umma wengi hawajalipwa stahili zao na wala hawajaongezewa mishahara miaka mitano, wengi hawajalipwa stahili zao baada ya kuachishwa kazi, kwani uongo?
Huyu Polepole kwakua hajui uchungu wa chama na ameingia juzi tu eti anasema watumishi wamepunguziwa kodi, kwani kupunguziwa kodi ndiyo kuongeza mshahara na ndiyo makubaliano ya kimkataba? Aache kudanganya watu kwanza yeye siyo Mwanaccm ameazimwa kwa muda tu.
Lisu huyu anakera,anakera hadi anachukia.
Umemjibu hata hoja moja ya mleta uzi na ni mwanaccm mwenzako ujue.Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Hehehe na mahesabu yake huyu ndiye mwenez i wa chama kikubwaMi polepole alinichosha alipo sema wanalipa mshala kila tarehe 20 sasa kama unalipwaa tarehe 20 sizinakuwa zimesha enea siku 30 ndoo kuona wa tz nimaboya
Huyo jamaa mbona amevimba kila mahali anaumwa figo?Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Anaumwa kila kiungo cha mwili wake mpaka ubongo.Huyo jamaa mbona amevimba kila mahali anaumwa figo?
Fanyakazi acha kulalamika tu unafikiri serikali itakuletea chakula nyumbani kwako?
Chenga Hy sijui kwanini wagogo wanamfugaKibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Hiyo kachukulia sample kwenye inner family ya magufuli (mke,watoto, wajukuu,Dada zake wa tumbo moja na shangazi zake) na bado hajashindaaWewe jamaa kwani hujui Polepole katoa matokeo ya utafiti wao wa kisayansi kwamba mpaka dakika hii ccm inaushindi wa 85% ila sikujua sample space ya utafiti kaichukua wapi.Maana wananchi wanalia kwa kusaga meno,huwezi kuamini kuna watu wanalala na njaa na Kazi wanafanya ila pesa hawapati iwe anafanya serikalini au hata kwenye sekta binafsi.Mf. nasikia kuna wale wakutoa vyakula kwenye shule za serikali wanatoa huduma tu toka 2015 hawajalipwa nk nk
Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe