Uchaguzi 2020 Ujue Tundu Lissu unakera, unakera, unakera!

Uchaguzi 2020 Ujue Tundu Lissu unakera, unakera, unakera!

Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276

[emoji23][emoji23]Kibushuti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe unanajisi apo ulipo ktk kyupi yako, naona umevamia mada baada ya kumaliza kumasterbate na ndio maana unahara tu uharo.
Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu

Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
 
Jamaa walikua wamezoea kukaa ikulu wanawaita waandishi wa habari wanakua live tv karibia zoote wanawaambia raia kua wameingia uchumi wa kati hawataki maswali sasa leo wameweza kukutana na chuma cha mjerumani anagonga nyundoo na spana hatariiii
 
Ccm waliingia na matokeo mfukoni wakizani waliowafungia wasifanye mazoezi hawawezi kucheza na wao lakini 35'' tayari tundu lissu anaongoza 2-0
Wewe jamaa kwani hujui Polepole katoa matokeo ya utafiti wao wa kisayansi kwamba mpaka dakika hii ccm inaushindi wa 85% ila sikujua sample space ya utafiti kaichukua wapi.Maana wananchi wanalia kwa kusaga meno,huwezi kuamini kuna watu wanalala na njaa na Kazi wanafanya ila pesa hawapati iwe anafanya serikalini au hata kwenye sekta binafsi.Mf. nasikia kuna wale wakutoa vyakula kwenye shule za serikali wanatoa huduma tu toka 2015 hawajalipwa nk nk
 
Maumivu yanayotupatapa wanaccm kutokana na huyu bwana ni kuusema ukweli unaouma. Huyu jamaa hasahau na wala hapindishi kitu. Yaani mkuki moyoni inaumiza sana ndio maana hatumpendi.

Ni kweli anapowaambia wananchi ukuaji wa uchumi wetu hauendani na maisha halisi ya wananchi, kweli wananchi wanakubali kwa sababu maisha ni magumu sana wao wananchi wanaijua hali hiyo. Sisi viongozi tunaifanya hatujui maisha kua ni magumu tunapindisha ukweli, sasa Lissu anachoma katikati.

Lissu anaposema vifaa vya ujenzi vimepepanda maradufu, sukari imepanda maradufu ndio ujue anachomaka kati kati. Polepole juzi nadanganya eti vitu havijapanda bei muongo mkubwa, nenda kaulize bei ya nguo ya 2014 kwa sasa usikie bei yake.

Ukweli mchungu, Lissu anawaambia watumishi wa umma wengi hawajalipwa stahili zao na wala hawajaongezewa mishahara miaka mitano, wengi hawajalipwa stahili zao baada ya kuachishwa kazi, kwani uongo?
Huyu Polepole kwakua hajui uchungu wa chama na ameingia juzi tu eti anasema watumishi wamepunguziwa kodi, kwani kupunguziwa kodi ndiyo kuongeza mshahara na ndiyo makubaliano ya kimkataba? Aache kudanganya watu kwanza yeye siyo Mwanaccm ameazimwa kwa muda tu.

Lisu huyu anakera,anakera hadi anachukia.
Uvccm naona mnahamia bavicha mmoja mmoja kila siku. Karibuni tujenge nchi mpya chini ya Tundu Lissu.
 
Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Huyo jamaa mbona amevimba kila mahali anaumwa figo?
 
Fanyakazi acha kulalamika tu unafikiri serikali itakuletea chakula nyumbani kwako?

Watu wamekwama huku wakiwa wanafanya kazi, biashara nyingi zinafungwa huku watu wakiwa hawajui kesho yao. Nyie mnaofaidi mezani kwa bwana ndio mnapiga kelele. Ukitaka kujua hii lugha yako ya kipuuzi ni kejeli kwa watu, omba siku kabla ya kura uende TRA ukaone trend ya kufunga biashara, kisha uje uhimize watu kufanya kazi. We baki ukitazama TBC na hizo nyomi zinazokuja kupunguza stress kwa kutazama wasanii, udhani watu wako kwenye furaha.
 
Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Chenga Hy sijui kwanini wagogo wanamfuga
 
Wewe jamaa kwani hujui Polepole katoa matokeo ya utafiti wao wa kisayansi kwamba mpaka dakika hii ccm inaushindi wa 85% ila sikujua sample space ya utafiti kaichukua wapi.Maana wananchi wanalia kwa kusaga meno,huwezi kuamini kuna watu wanalala na njaa na Kazi wanafanya ila pesa hawapati iwe anafanya serikalini au hata kwenye sekta binafsi.Mf. nasikia kuna wale wakutoa vyakula kwenye shule za serikali wanatoa huduma tu toka 2015 hawajalipwa nk nk
Hiyo kachukulia sample kwenye inner family ya magufuli (mke,watoto, wajukuu,Dada zake wa tumbo moja na shangazi zake) na bado hajashindaa
 
Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu

Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe

Polepole juzi nadanganya eti vitu havijapanda bei muongo mkubwa, nenda kaulize bei ya Sugar ya 2015 kwa sasa usikie bei yake.
 
Back
Top Bottom