Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

Sidhani hata kama watakuelewa!

Wenzio hawajui tofauti katika ya overall national popular votes na states’ popular votes [ambayo ndo huamua nani azipate hizo EV za jimbo].

Ni mfumo rahisi sana kuuelewa ila kwa hapa JF, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
Inategemea hizo kura za electoral colleges ameshindaje ila sio kwamba wajumbe/electors wa chama kimoja wanakuwa wamempigia kura mgombea wa chama kingine, electoral votes zinagwanywa kulingana na idadi ya wabunge ambayo hubadilika na maseneta ambapo kila jimbo lina maseneta sawa ambao ni wawili tu, sasa hapo ndipo unakuta California ya watu milioni 40 ina wajumbe wawili kwa kuanzia sawa na jimbo la watu laki 5 la Wyoming, hapo ndipo lazima mgombea achange hesabu vizuri kukusanya ushindi wa majimbo.
 
Huyo muongo. Kura za wananchi huamua Nani awe raisi. La sivyo wasingefanya campaign ya kufa MTU
 
Huyo muongo. Kura za wananchi huamua Nani awe raisi. La sivyo wasingefanya campaign ya kufa MTU
Hajui tofauti kati ya overall national popular votes na state popular votes.

State popular votes ndo hutumika katika kupata mshindi wa electoral votes za jimbo.

Kingine ambacho wengi hawakijui humu, wagombea wanaweza kutoka date katika electoral votes, kila mmoja akapata 269.
 
Lakini Electoral College imeshatoa Marais watano walioshindwa Popular vote wa karibuni wakiwa George Bush na Trump.
Ni Kweli watano, lakini ni nadra electoral votes kuwa kinyume na popular votes.
=====================
"it is quite possible that a candidate who collects the most votes on a nation-wide basis will not win the electoral vote. In a two-candidate race, that is less likely to occur. But, it did occur in the Hayes/Tilden election of 1876 and the Harrison/Cleveland election of 1888 due to the statistical disparity between vote totals in individual state elections and the national vote totals. This also occurred in the 2000 presidential election, where George W. Bush received fewer popular votes than Albert Gore Jr., but received a majority of electoral votes, and the 2016 election, where Donald J. Trump received fewer popular votes than Hillary Clinton, but received a majority of electoral votes."
 
Mgombea akishinda jimbo fulani (yaani popular votes kwenye jimbo hilo), basi anapata pia electoral votes kwenye jimbo hilo.

Kwa mfano, Kamala Harris wa California akishinda jimboni kwake, anaondoka na electoral votes 54 (ambazo ni kura za jimbo lake tu). Ndivyo inakuwa kwa majimbo yote, hadi afikishe jumla ya kura 270+

Ni wazi kwamba bila popular votes huwezi kupata electoral votes. Hizi zinategemeana kabisa.
 
Ni Kweli watano, lakini ni nadra electoral votes kuwa kinyume na popular votes.
Watano sio wachache, fikiria kama sio Electoral College Democrats wangekuwa wametawala Marekani kwa miaka 30 mfululizo, tangu Bill Clinton 1993
 
Maelezo mazuri, ila hili la kura za urais Tz mshindi lazima apate 50%+, limeanza lini?
 
Watano sio wachache, fikiria kama sio Electoral College Democrats wangekuwa wametawala Marekani kwa miaka 30 mfululizo, tangu Bill Clinton 1993
Unaelewa nini maana ya nadra?
Tafuta uwiano (walioshinda Kwa popular votes na wale wa electoral votes) ktk chaguzi zote zilizofanyika tangu 1876 Hadi 2020 ili tujue watano ni wengi ama wachache.
 
Unaelewa nini maana ya nadra?
Tafuta uwiano (walioshinda Kwa popular votes na wale wa electoral votes) ktk chaguzi zote zilizofanyika tangu 1876 Hadi 2020 ili tujue watano ni wengi ama wachache.
Marekani mpaka sasa imefikisha Marais 46, sasa 5 ni nadra?? Halafu ujue Urais hata mtu akikaa miaka 4 tu anabadilisha mambo mengi sana yanayobadilisha Historia ya nchi kwa muda mrefu, Bush aliingiza Marekani katika vita vya Iraq na Afghanistan vya miaka takribani 20, Bush na Trump wameweka majaji 5 wa kudumu maisha katika Mahakama kuu ya Marekani yenye majaji 9.
 
Toka Mwaka 1876 Hadi 2020 ni jumla ya chaguzi ngapi zimefanyika? Kisha Tafuta Asilimia
Au
90% (popular votes) Kwa 10% (electoral college)
90>10
Mengine siyajui
 

Hawa wana democrasia feki.
Hawana democrasia hawa. Point za ushindi kampeni-:
• kupromote usenge na kusagana
• kuruhusu wavuta bangi wavute free eti ndio uhuru huo
• watoaji mimba urahisishwe uhuru mwingine huo.

Muisrael kupitia AIPAC anawahonga million wabunge wa congress na rais wao asalimu amri aitumikie israel na asalimu amri mia fil mia. Wamerakani wananchi ni kama kondoo tu walikipa kodi inakusanywa anapewa myahudi kuua ovyo.
Hii ndio democrasia feki
 
mleta mada hauko sahihi hakuna cha wajumbe kumchagua raisi kwani kura zinapigwa mara moja tu hiyo nov. 5 alafu kura za wanachi na kura za majimbo zinaenda sambamba maana kura majimbo zipo automatic mfano jimbo la new york,iowa,washigton,dallas sasa mfano ikitokea Trump kapata kura nyingi new york basi automatic na kura za electoral votes zinakuwa zake na kama kamala nae kapata kura nyingi washigton basi na electoral vote za jimbo hilo zinakuwa zake na wa kwanza kufikisha 270 huyo ndio mshindi
 
Maneno "akaja kupata" yanatoa taswira kwamba hizo kura za "electoral college" zinaamuliwa wakati "ujao". Taswira hiyo sio sawa. Idadi ya "electoral votes" inaamuliwa kutokana na wananchi walivyopiga kura siku ya uchaguzi mkuu ( kwa mwaka huu 2024 itakuwa ni tarehe 5 Nov 2024 + early votes).
 
mbona kuna neno "kura" na "kula"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
You nailed it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…