Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nadhani hujaelewa kabisa kuhusu hiyo popular votes niliyoichambua.Soma hapo chini, usipotoshe umma nimeona nikujibu moja kwa moja. hao ni viongozi katika history ya marekani walifeli kwenye kwenye popular vote lakini wakawa marais wa marekani kwa wingi wa Electoral College votes
- Rutherford B. Hayes (1876): In the highly contested election against Samuel J. Tilden, Hayes lost the popular vote but won the Electoral College by a single vote, 185 to 184. The election was marred by disputes over electoral returns in several Southern states, which led to a special electoral commission that ultimately awarded the disputed votes to Hayes.
- Benjamin Harrison (1888): Harrison lost the popular vote to incumbent President Grover Cleveland but won the Electoral College, 233 to 168. Harrison carried key swing states, despite Cleveland receiving more votes overall.
- George W. Bush (2000): In a very close election against Al Gore, Bush lost the popular vote by approximately 500,000 votes but won the Electoral College, 271 to 266. The outcome hinged on a contentious recount in Florida, which was ultimately decided by a Supreme Court ruling in Bush's favor.
Mimi nimesema kuna tofauti kubwa kati ya Popular votes kwa kila jimbo (State popular votes) ambao ndio mfumo unaotumika USA dhidi ya general Popular votes(kura za kiujumla jumla) mfumo ambao hautumiki USA. Katika hali ya kawaida huwezi ukawa rais wa USA bila kwanza kuwa na ushindi mkubwa/mpana zaidi katika state popular votes. Kwanini? Mshindi wa states
popular votes ndio huvuna wajumbe wengi zaidi wa electoral college votes.
Hao wote hapo juu uliowataja (Rutherfold, Harrison, Bush na hata Trump) walishinda states popular votes na ndio maana wakawa marais wa USA.