Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

Nadhani hujaelewa kabisa kuhusu hiyo popular votes niliyoichambua.
Mimi nimesema kuna tofauti kubwa kati ya Popular votes kwa kila jimbo (State popular votes) ambao ndio mfumo unaotumika USA dhidi ya general Popular votes(kura za kiujumla jumla) mfumo ambao hautumiki USA. Katika hali ya kawaida huwezi ukawa rais wa USA bila kwanza kuwa na ushindi mkubwa/mpana zaidi katika state popular votes. Kwanini? Mshindi wa states
popular votes ndio huvuna wajumbe wengi zaidi wa electoral college votes.

Hao wote hapo juu uliowataja (Rutherfold, Harrison, Bush na hata Trump) walishinda states popular votes na ndio maana wakawa marais wa USA.
 
Narudia kuandika hapa, State popular votes (ambayo ndio msingi wa kumpata rais wa USA) ni tofauti kabisa general popular votes (ambayo haitumiki kabisa kumpata rais wa USA). Mara zote general popular votes hutumika kuchambua umaarufu wa mgombea kiujumla jumla mbele ya wamarekani wote kuliko kuelezea ushindi katika uchaguzi wa USA. Wagombea na vyama vyote wanalijua sana hilo, na wakati wote hulizingatia sana katika kampeni zao. Kushinda urais wa USA kunahitaji hesabu za kisayansi katika siasa za kidemokrasia na wala sio umaarufu wa kiujumla jumla wa kisiasa.
 
Hapa unapigia mbuzi gitaa.

Watu wasiojua kutofautisha ‘L’ na ‘R’ hawana uwezo wa kuelewa.
 
Hapa unapigia mbuzi gitaa.

Watu wasiojua kutofautisha ‘L’ na ‘R’ hawana uwezo wa kuelewa.
Hapa unapigia mbuzi gitaa.

Watu wasiojua kutofautisha ‘L’ na ‘R’ hawana uwezo wa kuelewa.
Ww n mpumbavu sn, inaonekana uelewa wako wa mambo n mdogo sn,

Huwez kum bully mtu kisa muundo wa herufi katika matamshi….

R na L n herufi tuu ktk muundo wa matamshi ya maneno, mostly huathiriwa na makuzi ya mtu, sababu za kikanda, sababu za kikabila n hata mazingira…

Bt believe me, am ten times smarter than you in every thing u ever learned so far….

Tht why unatoka kwny hoja za msingi unarukia muundo wa sentence ambao kimsing sio hoja iliopo mezani
 
Na shida kubwa ya humu ni wale wasiojua lakini hawajui kama hawajui.

Umefafanua vizuri sana mkuu.

Ova
 

..demokrasia ya Marekani ni nzuri kwasababu wanaoshindana wana nguvu zinazokaribiana.

..hapa Tanzania Ccm inapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi, halafu wanashindana na vyama vinavyopata million 5 au sifuri kama ruzuku.

..Marekani kila chama kina nafasi ya kushinda ili mradi kimeweka mgombea mzuri anayejua kushawishi wapiga kura.

..hapa Tanzania tunaye Samia ambaye ni mgombea mbovu kuliko wanaofikiriwa watagombea kupitia vyama vya upinzani lakini Ccm wanatarajia ushindi asilimia 100%.
 
Na shida kubwa ya humu ni wale wasiojua lakini hawajui kama hawajui.

Umefafanua vizuri sana mkuu.

Ova
Na ww huwez kujua kila k2, perhaps huwez kumforce mtu aamin km unavyo amini ww….
Lakin pia ni busara kuheshimu mawazo na misimamo ya mtu, hata km haina uhalisia n kile unachokiamini ww
 
Niko nasoma watu wanavyopuyanga namna uchaguzi wa US unavyoendeshwa.

Yani wachambuzi uchwara ni wengi mmoja anasema eti US inaenda kufutika kama super power endapo mwanamke akishinda nimebaki nacheka tu.
 
Kwa kuongezea tu ni kuwa uchaguzi wa marekani unavyoendeshwa ni rahisi sana kuuona mchakato dhahiri na kwa uwazi kuliko Tanzania mdudu aitwaye tume ya uchaguzi[ saa hizi wanaiita tume huru japo sio huru kwa uhalisia bali imedalika jina] hiki chombo ndio kinaharibu chaguzi zote 100% naamini vyombo vya dola licha ya kuibeba CCM ila tume ikiwa huru kweli hata vyombo vya dola havitosimamia kupindua chaguo la wananchi .
 

..100%.

..tangu Tanu / Ccm imeanzishwa Tume ya Uchaguzi hajawahi kuengua mgombea hata mmoja wa chama hicho.

..sasa piga hesabu Tume ya Uchaguzi imewahi kuengua wagombea wangapi wa vyama vya upinzani.
 
..100%.

..tangu Tanu / Ccm imeanzishwa Tume ya Uchaguzi hajawahi kuengua mgombea hata mmoja wa chama hicho.

..sasa piga hesabu Tume ya Uchaguzi imewahi kuengua wagombea wangapi wa vyama vya upinzani.
Mchakato wa kupata hao viongozi wa tume unaondoa uhalali kabisa wa tume kuwa huru maana ni maafisa wa usalama wa taifa na pia ni wanachama wa CCM.
 
Donald Trump alipogombea na Bi. Hilary Clinton alipata kura chache za wanachi (Popular Votes" dhidi ya BI. Hilary lakini walipopigiwa kura za wajumbe 538 "electoral college votes" alipata kura 270+ akatangazwa kuwa rais wa nchi hiyo
 
hongera mwamba trump mazeee uko vizuriii...ulisha sema punda ako kwenye mteremkoo yaani wabeba boksi wote wanarudi tzz walime mpunga wa mamaa..
 
Asante sana umemjibu vizuri sana unakitu wewe kichwani kwako barikiwa sana pia niongezee tu hapo inaweza kuwa typing error ubarikiwe sana
 
hongera mwamba trump mazeee uko vizuriii...ulisha sema punda ako kwenye mteremkoo yaani wabeba boksi wote wanarudi tzz walime mpunga wa mamaa..
Kesha mtimulia mtu vumbi huko 😄 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…