Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:

IMG_20220424_085544_069.jpg


Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.

IMG_20220424_085612_196.jpg


Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.

IMG_20220424_085635_388.jpg
 
Kwani ujumbe wote ni kuhusu Aquilina? Una kereka sana unaposikia ndugu zake wanapoililia haki yake?
Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
 
Hayo mabango mbona yanahusu awamu ya 5

cc: Zitto Kabwe

Katiba mpya sasa, kukamatwa wakili Madeleka, uwepo wa kina mzee bungeni, haki kwa wahanga nk hayana maana kwenye awamu hii?

Kulikuwa na ujumbe mahsusi toka kwa Zitto kwa wanaoota awamu ya tano akilinganisha na wapenzi kindaki ndaki wa wafalme hapo kale.
 
Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Unaamini hukumu kuhusiana na mauaji yake yalitendea haki?
 
Ila kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Kwahiyo hawastahili kusema ukatili wliofanyiwa??. Ubinafsi wa kijinga sana huu!! Hebu chukua dakika 1 kuwaza ni mdogo wako.
 
Usijitie huelewi kwanini wanalitumia hilo jina....
Acha kuwa mbinafsi na roho mbaya!!, Kila mwenye kupenda haki anataman kuona haki inatendeka kwa kukatisha uhai wa mtu bila sababu za msingi.
 
Back
Top Bottom