Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
-
- #61
Utaratibu wa kuonana na wakubwa wao upoje? Maana kuingia kambini ni lazima ukutane na walinzi getini ambao Wana vyeo vidogo na watakuhoji, na obviously wakiona unataka kumchoma mwenzao watakuzuia kuingia.Sehemu husika ni kwenda kumripoti kwa wakubwa zake ni ishu nyepesi tu lazima ashughulikiwe ipasavyo.
Onyo zuri mwenye akili timamu asikie na kuelewa.
Mkuu weka namba yako ya simu au email nikisema nikazichukue Kwa mods wa Jf ntakua nimekuonea weka hapa ila Ombii langu wewe si ni kidume usiandike contact za Uongo lengo langu ni kukufundisha serikali ipo....Una umri gani?
Cheo chako?
Ukinijibu nitakuambia nilipo uje, tuone kama utayaweza.
Poti lazima awe na nidham.
Kwa hiyo wewe ndio serikali?Mkuu weka namba yako ya simu au email nikisema nikazichukue Kwa mods wa Jf ntakua nimekuonea weka hapa ila Ombii langu wewe si ni kidume usiandike contact za Uongo lengo langu ni kukufundisha serikali ipo....
NB.
No beef
Siyo lazima useme unawaeleza unahitaji kuonana na mkuu wa kambi lazima wakupe utaratibuUtaratibu wa kuonana na wakubwa wao upoje? Maana kuingia kambini ni lazima ukutane na walinzi getini ambao Wana vyeo vidogo na watakuhoji, na obviously wakiona unataka kumchoma mwenzao watakuzuia kuingia.
☝🏿 Prince MhandoHapana, alikuwa anaendesha gari kulia, nilipohamisha bike akanifuata Tena, niliposimama akasimama akatoka nje ya gari akachukua ufunguo wa bike akaanza kunifokea na kunipiga
Lengo langu nataka mjue kua serikali ipoKwa hiyo wewe ndio serikali?
Wewe kilaza huwezi kuwa serikaliMkuu weka namba yako ya simu au email nikisema nikazichukue Kwa mods wa Jf ntakua nimekuonea weka hapa ila Ombii langu wewe si ni kidume usiandike contact za Uongo lengo langu ni kukufundisha serikali ipo....
NB.
No beef
Endelea kuchukua sheria mkononi...Lengo langu nataka mjue kua serikali ipo
NB
Najichukulia Sheria mkononi Ili mjue serikali ipo
No beef
Hawawezi kukuelewa kwa sasa lakini watakuelewa in a near futureMahusiano mabaya kati ya raia na jeshi yalimgharimu sana Idd Amin.
➡️➡️➡️ An army unit without discipline is just a bunch of hooligans! 🚮
Hilo sasa mkuu ni tatizo jingine!Na kwa bahati mbaya, wengi hawana elimu
kamrukishe kwanza samiaMkuu weka contact hapa nakukuhakikishia kichura chura utaruka na mwezi wa 12 ni mbali utatupa mrejesho......
NB:
Serikali ipo
Wakipelekwa Mozambique kupambana na ugaidi, wanarudishwa wakiwa mizoga. Badala watumie huu wakati wa Amani kujiimarisha, wanaoutumia kutengeneza chuki na raia wasio na silaha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bongo wanajeshi wanakula Hela za Bure tu,ila hawana lolote ndo maana wanaleta ubabe mtaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi Tz ikivamiwa sitaisaidia
Shida siyo kutoa malalamiko,yaani mtu anipige makofi,nije nitoe malalamiko,dawa ni kupambana kadri unavyoweza,kama utapigwa sawa,kama utampiga sawa.Wananchi waache unyonge,mwanajeshi akikuzingua eti anataka kukupiga,usipigwe kizembe,pambana kadri unavyoweza.Hakya-Mungu siwezi kukubali uniaibishe hadharani,halafu niende kwa wakubwa ukaombe msamaha faraghani,aisee sikubali.Ungekuja kutoa malalamiko yako sehemu husika ili upate haki yako jeshi ni la wananchi ni mali yenu sote.
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi inakuwaje mnapigwa kifala na hao wajinga wajinga