Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Wakipelekwa Mozambique kupambana na ugaidi, wanarudishwa wakiwa mizoga. Badala watumie huu wakati wa Amani kujiimarisha, wanaoutumia kutengeneza chuki na raia wasio na silaha.
Waonevu sana,Mimi bongo nikikuta askari na mbwa wanahitaji msaada nampa mbwa,naacha askari aseehh...sio watu hawa
 
Ushatuona sisi firigisi we jamaa?
 
Kwa wale ambao hawawezi kupambana inabidi wakawaripoti tu hawana namna,huwa mkizinguana kwenye mambo yetu ya kimtaa lazima muyamalize huko. Huwa jeshi halitakagi ujinga ndomaana wale wanao waonea raia,huwa hawapendi hilo swala liwafikie wakuu maana huwa wanapewa adhabu kali sana.
 
Sifa ya kwanza ya kuwa Askari ni RAIA wa TZ

LAKINI huwa nashangaa(ga) sana wanapojitofautisha na RAIA kana kwamba wao sio RAIA

Sasa huo uaskari wameupataje!?

Ama kwa Ukiwa ASKARI U-RAIA una kuvuka!?

Hawa jamaa wanafikirisha sana Sometimes.
 
Hawa jamaa wanajikutaga kuwa wao ni miungu watu, kuna siku nimepanda boda na tuko high way pembeni kuna mtaro sasa kwa nyuma yetu ilikuwa harier akawa anatupigia honi yaani sisi tuingie mtaroni yeye apite nikamwambia dereva wa boda wewe tembea site yako na wala asikutishe na honi, basi jamaa akaja kwa nyuma akatupush tukaanguka alafu akasimama akaanza kutufokea nikamuuliza swali wewe ulikuwa unataka tuingie mtaroni au, unatakaje, ghafla ananiuliza unajua mimi ni nani, nikamjibu kukufahamu wewe hainisaidi lolote, jamaa kawa mkali na mimi nikawa mkali,mwenzie akamwambia umekosea alafu bado unazingua, pale nikajifanya nachujua namba ya gari na jina kwenye sare yake, mwenzie akanifuata akaomba samahani,
 
Yaani mtu unapigwa makofi... ?Kinachokufanya usiriakti ninini?
Unaogopa utakufa au?
Aisee... kuna watu ni mafala sana hii nchi.Watu wa hivi walitakiwa wazaliwe miaka ya ukoloni huko,wapigwe mbata na wazungu.. mtu umezaliwa miaka hii,bado unaonewaonewa... aiseee,mnaacha askari wasiokua na nidhamu wanajichukulia maujiko hovyohovyo.
 
Sifa ya kwanza ya kuwa Askari ni RAIA wa TZ

LAKINI huwa nashangaa(ga) sana wanapojitofautisha na RAIA kana kwamba wao sio RAIA

Sasa huo uaskari wameupataje!?

Ama kwa Ukiwa ASKARI U-RAIA una kuvuka!?

Hawa jamaa wanafikirisha sana Sometimes.
Majority Hawawezi kuwaza. Wangekuwa wanaweza wasingefeli form four.
 
Serikali itakubaliana na Mimi kuwa maaskari wengi wa JWTZ Ni waonevu
 
Another Keyboard warrior πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…