Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mwafrika wa Kwanza mwanamke kushika nafasi hiyo tangia kuumbwa kwa ulimwengu na kuanzishwa kwa umoja huo.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter maarufu kama X ameandika ujumbe ambao umewaweka njia panda wasomaji wengi.ambapo kila mmoja katika kutoa maoni yake amejikuta akitoa maoni yake tofauti tofauti na halijapatikana jibu la moja kwa moja ya nini Mheshimiwa Speaker alimaanisha.

Maana ni ujumbe ambao hauna maelezo ya ziada kwamba unaweza kuunganisha dot na kupata maana wala huwezi ukatolea maelezo juu ya alichomaanisha. Maana wengi wamebaki gizani. Ujumbe wenyewe ni huu hapa 👎View attachment 3176488

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anamaanisha siku UMAUTI utakapomfika na ALIJILENGA YEYE MWENYEWE.
 
Huyu uwa anatweet Ujinga ujinga tu, kujikweza kwingi, ni Moja kati ya Viongozi washamba sana,
Inawezekana vipi mtu mshamba akaweza kushika nafasi ya unaibu mwanasheria mkuu wa serikali,naibu Speaker, Speaker na Rais wa IPU?wewe mwerevu na ujinga wako umeshika nafasi ipi?
 
Back
Top Bottom