mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,744
Pili huwezi kufananisha maandamano ya kumpongeza magufuli na hayo maandamano yenu ya kijinga,kwanza magufuli huwezi mfananisha na takataka yeyote, yeye ni raisiKwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, na Katiba yetu, maandanano ni sehemu ya kazi za vyama vya siasa. Ila katika udikteta uchwara wa Magufuli, amevunja Katiba na amevunja sheria kwa kuyazuia. Ila naandamano ya kumpongeza magufuli, hayo sawa kabisa, ruksa.
Unasema maandamano ya kijinga? Unajua sheria inayoongoza kazi za polisi? Ndio maana mara nyingi hata polisi hulalamika, mambo ya siasa malizeni huko!