Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

Pili huwezi kufananisha maandamano ya kumpongeza magufuli na hayo maandamano yenu ya kijinga,kwanza magufuli huwezi mfananisha na takataka yeyote, yeye ni raisi
 
Mapambano ya kelele hayanaga ushindi...ninhemshauri afanye kimya kimya harakati then anaibuka tu ghafla.
 
Ni haki kwa kufuata taratibu,sio unakurupuka tu tuandamane kisa Ni haki yako
Taratibu zote zipo kwenye sheria. Kama una akili ndogo tu, jiulize iweje toka vyama vingi vianze, ndiyo ukandamizaji ulikuwepo, lakini angalau kuna mikutano ilifanyika, na pia maandamano.

Awamu hii siyo tu maandamano, bali mikutano yooote marufuku. Swali ni je, sheria imebadilika? Hapana, ni amri tu, bila kujali sheria.

Na huku kutojali sheria, wakati wa bomoa bomoa kuna watu walipata STOP ORDER ya mahakama. Sasa kioja ni kwamba hao wenye stop order walivunjiwa kwa jeuri, bila hata kupewa nafasi ya kutoa vitu. Magu hajali sheria, hajali utaratibu wa mihimili, anadai yeye binafsi ni mhimili juu ya yote ingine. Huko ni kusigina Katiba.

Hata mikutano ya ndani ambayo haihusiki na sheria hizo feki, nayo inaingiliwa. Huo ni woga uliopitiliza wa ccm
 
Pili huwezi kufananisha maandamano ya kumpongeza magufuli na hayo maandamano yenu ya kijinga,kwanza magufuli huwezi mfananisha na takataka yeyote, yeye ni raisi
Safi kabisa, kwa hiyo kwa mujibu wa katiba yako wewe , watanzania wengine ni takataka? Ila kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tanzania, ambayo Magufuli aliapa kuilinda, watanzania wote ni sawa mbele ya sheria.
 
Wapinga maendeleo na mawakala wa mabeberu, chadema na act na misukule yao wote Ni takataka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…