Kama kuoa malaya ni kawaida kwa nini wachumba zenu huwa mnafuatilia past relationships zao?
Kama malaya ni malaya kwa nini msiende Kimboka au Uwanja wa fisi kuchumbia muwaoe?
Kwa nini kiufundi sana huwa mnawauliza bodycount mamanzi wenu kabla ya kufanya nao maisha, kwa nini muwachunguze kabla?
Mbona wakiwacheat huwa mnakuwa wakali si malaya ni malaya tu?
Na ndio maana wanawake wengi wasio bikira wanawadanganya kuhusu wanaume waliotoka nao ili msiwahumumu sana kwamna ni malaya wazoefu.
Hakuna mwanaume anayependa mwanamke malaya (asiye bikra) msijitoe ufahamu hapa. Mwanaume yoyote anataka purity kutoka kwa mwanamke wake
Wanawake wasio bikira wanawachora tu humu na kuwashangaa mnavyowatetea