PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wa dini hawakuapa kufanya siasa makanisani na kuleta chuki na kuleta taharuki
 
Kukemea utekaji ni kufanya siasa? Au katiba iliposema kila mtu ana haki ya kuishi ilimaanisha nini. Kipi kinatangulia, uhai wa raia au siasa?
Inategemea unakemeaje? Mbona na wengine wanakemea ila hawajazuiwa?
 
Vyama vya siasa vijifunze kutokana na haya, ni muhimu sana kuangalia sana background ya mtu kabla ya kumpa dhamana kubwa, usawa wa kijinsia na ukada viwe extra
 
Kama Ask Gwajima ametenda kosa lolote kisheria mpelekeni mahakamani na sio kuja kufunga kanisa hilo hqliwezekani waondoe hao mbwa wako hapo kanisani.Kwa hili halitawezekana
 
Wauaji sio wahuni?
Uzuri boss wa watekaji kajianika mwenyewe, watz wamemfahamu na dunia imemjua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…