Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,846
- 11,671
Amani inalindwa kwa kuua watu?Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.
Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..
Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Acha kujichamganya,kujiumauma na kumangamanga kwa kutetea ujingaujinga.
Shida ya kutawaliwa na mtu asiye raia wa Tanganyika
Ndiyo maana ya kutoruhusu kwa kuirekebisha katiba na upuuzi mwingine.Tatizi ni katiba.
Kumwambia ukweli mkubwa wako ni utovu wa nidhamu?Pia Gwajima nae ni mtovu wa nidhamu
Najichanganyaje,najiumaje? Ujinga ni upi? Nani ana kipimo Cha ujinga?Acha kujichamganya,kujiumauma na kumangamanga kwa kutetea ujingaujinga.
Amani Huwa inalindwa Kwa damu,jasho na machozi ikibidi watu hufa.Amani inalindwa kwa kuua watu?
Mnatumia nini kufikilia? Matako?
Kwa kuangalia utetezi wako naiona taswira ya hiyo kitu.Najichanganyaje,najiumaje? Ujinga ni upi? Nani ana kipimo Cha ujinga?
Wajinga ni nyie mnaodhani mna Haki ya kuvuruga amani.Kwa hiyo CCM na wajinga wenu mnajiamulia mambo kama mpo gulioni tu?
Na wewe Kwa kuangalia ujinga wako naiona hiyo kitiKwa kuangalia utetezi wako naiona taswira ya hiyo kitu.
'Kifo ni kifo tu'Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.
Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.
Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.
Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.
Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.
Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.
Subiri October uone akili za CCM wa Tanganyika. Ameshajichagua yeye na Nchimbi waongoze watanganyika hadi 2030.Kutokea hapa Watanganyika sidhani kama watakuja ruhusu tena. Mzanzibara kuongoza nchi yao.
Amani unayoizungumza ni ipi?Ya watu kunyamaza na kuendelea na mengine?Amani ya kuteka, kutesa,kutupia rumane hovyo,kubambika kesi, kuumiza, kupoteza,kubaka na kuua?Amani ya kunyima haki za kikatiba ie kukutana,kujieleza kwa uhuru,kuabudu?Wajinga ni nyie mnaodhani mna Haki ya kuvuruga amani.
Pili CCM imepewa dhamana ya Uongozi
Uchochezi na chuki zipi? Watu hawatekwi na kupotezwa na serikali iko kimya? Jee watu hawauwawi na kimya ni kizito? Why wakisemwa unakuwa uchochezi?Haliwezi kuruhusuwa kufanya Sasa za uchochezi na chuki
Mpaka sasa sina shaka wewe ni dada yake mkubwa Tulia.Na wewe Kwa kuangalia ujinga wako naiona hiyo kiti
Bado shaka unayoMpaka sasa sina shaka wewe ni dada yake mkubwa Tulia.
Hakika.Kulikua hamna ulazima wa Rais siku ile kwenye kikao kumjibu Gwajima na kuendelea kumshambulia anathibitisha aliyosema Gwajima ni kweli. Pia Gwajima nae ni mtovu wa nidhamu
Hauko kimya inafanya uchunguziUchochezi na chuki zipi? Watu hawatekwi na kupotezwa na serikali iko kimya? Jee watu hawauwawi na kimya ni kizito? Why wakisemwa unakuwa uchochezi?
Na sasa hata raia wa nje wanakamatwa na polisi kisha wanalawitiwa bado hamtaki waseme?
Sasa nchi inachafuka nje ndani kwa kasi ya ajabu na sisi wananchi tunachukia maana nyie CCM aibu kwenu ilishakoma kuwepo. Mko kama mawe au wanyama yaani hakuna hisia.
AiseehhSasa zile hisia zimethibitika kuwa ni KWELI.