PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Subiri October uone akili za CCM wa Tanganyika. Ameshajichagua yeye na Nchimbi waongoze watanganyika hadi 2030.
Watanganyika wa chadema wamekimbia uchaguzi.
Nchimbi naye ataanza 2030 hadi 2040.
Kulinda upupu wa saa100
 
Shekhe Yahaya alitabiri ujio wa magufuli na pia alitabiri anguko la mama so tuendelee kuomba tu ili andiko litimie cause mda si mrefu hii mitandao inafungwa
 
Kwa maelezo haya tu kama ungekuwa na kikanisa mahali basi kazi ungekuwa nayo
 
Umewahi ona analeta na kuchochea chuki Kwa mamlaka?
kwa hiyo mtu kusema kuna watu wanatekwa na kuaawa, ni kuchochea chuki. Alichokisema Mtumishi wa Mungu Gwajima hakipo?

soon mtajua hamjui. Mmeugusa moyo wa Mungu (kanisa). Get ready for the consequences!
 
Watu kupotea na kufa na maneno tu ya kuzungumzia tu hayo matukio kipi kinaleta taharuki.
 
Kuna haja ya kukaa nakuitengeneza katiba upya. Huku tunakoelekea sio kuzuri sana. Kwa kuwa bado hatujagawanyika sana tukaeni tupate suluhu mapema bila kujali vyama. Kama kuhoji kutekwa na kupotea watu ni tatizo; tukaeni tupate muafaka
 
Naitafuta post ya Kiranga akizungumzia plausible deniability, alimaliza kila kitu.​
 
kwa hiyo mtu kusema kuna watu wanatekwa na kuaawa, ni kuchochea chuki. Alichokisema Mtumishi wa Mungu Gwajima hakipo?

soon mtajua hamjui. Mmeugusa moyo wa Mungu (kanisa). Get ready for the consequences!
Mbona wengine wamesema hujiulizi Kwa nini yeye?

Sio Kila unachosikia au kuona Unatakiwa kusema,ulimi uliponza mwili.
 
dua la kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…