Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima

Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili ya kupewa majukumu ya kifamilia kwa wadogo zake au biashara (kama zipo), kupunguza gharama za kulea watoto wengine ikiwa yeye kaajiriwa au ana biashara zake, Ni umri ambao wanaume wakifikia ni 50/50 uhai na kifo hasa kwa magonjwa ya uzeeni hivyo ni vema uwe na watoto wataoweza kujitegemea, n.k.

  • ukipata mtoto ukiwa na 22, atakuwa na miaka 28 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 23, atakuwa na miaka 27 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 24, atakuwa na miaka 26 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 25, atakuwa na miaka 25 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 26, atakuwa na miaka 24 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 27, atakuwa na miaka 23 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 28, atakuwa na miaka 22 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 29, atakuwa na miaka 21 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 30, atakuwa na miaka 20 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 31, atakuwa na miaka 19 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 32, atakuwa na miaka 18 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 33, atakuwa na miaka 17 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 34, atakuwa na miaka 16 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 35, atakuwa na miaka 15 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 36, atakuwa na miaka 14 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 37, atakuwa na miaka 13 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 38, atakuwa na miaka 12 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 39, atakuwa na miaka 11 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 40, atakuwa na miaka 10 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 41, atakuwa na miaka 9 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 42, atakuwa na miaka 8 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 43, atakuwa na miaka 7 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 44, atakuwa na miaka 6 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 45, atakuwa na miaka 5 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 46, atakuwa na miaka 4 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 47, atakuwa na miaka 3 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 48, atakuwa na miaka 2 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 49, atakuwa na mwaka 1 ukifika 50
  • ukipata mtoto ukiwa na 50, atakuwa bado hajazaliwa
 
Why 50?
 
Miaka 28+ sasa na sijapata wa kukubali anizalie mtoto japo namhitaji mtoto.
Back in the day kama miaka mitatu nyuma kuna mmoja nilikuwa naye alipopata mimba akaitoa kwamba sina maokoto.
 
Aisee ngoja tupambane umri unaenda napenda wanangu wakue wakiwa mikononi mwangu wasije pitia udhalili shaji unaolipotiwaga kwenye jamii
 
Mwisho wa siku unakufa na watoto wanakuja kufa dah mungu fundi
Kifo hakikwepeki lakini at least ujitahidi upige hesabu kwa makadirio ya kufikia umri wanaoweza kufikia wanaume wengi, ukifika hapo uwe at least na watoto wanaoweza kujitegemea.
 
Back
Top Bottom