Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

Tusipangiane maisha
Mpangaji ni Mungu
Kuna watu huo uwezo na uhitaji upo na hap watoto hawajapatikana

Kuna watu wanakirimiwa umri hadi miaka 70,80 nk
 
Kwa waajiriwa ni heri utumie mshahara kusomesha kuliko pensheni

Kwa wafanyabiashara ni heri unapoanza kusogelea uzee uwe na watoto watu wazima wanaoweza kukusaidia na kusimamia biashara
Mkuu wazazi wengn ni shida hasa ukute ma bro zako hawajaoa ni kimbembe aisee Hadi unajiuliza kwani matumizi watakuwa wananipa wao, yaani wanakuchulia Kama mdogo kiumri na kiakili pia.
 
Uwahi kuzaa au uchelewe kuzaa, jambo Moja ninalojua ni kwamba watoto sio Mali ya Mtu yeyote! Uwepo wataishi, usiwepo wataishi!
 
Kuna jirani yangu alipata mtoto wa kiume akiwa na miaka 19 ila sasa hivi mwanaye ni upinde kwahiyo usikariri kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…