Baba yenu sikubaliani na matusi ila nina angalizo. Afrika, kabla ya kuletewa hizi dini za kiarabu na kiyahudi za akina Yehova na Allah, ilikuwa safi na tulivu. Lakini baada ya kuja dini hizi nyemelezi, mara tukapelekwa utumwani. Mara tukaletewa ukoloni, ubaguzi na kila aina ya jinai. Kimsingi, dini hizi ndizo zillizotumiwa na wazungu kutulainisha na kutupeleleza tayari kwa kututawala. Kwenye kifo cha Magufuli, ni kifo kama kingine. Kwanini Mkapa afe kwa shinikizo isiwe sababu? Tuamini kuwa kila mtu atakufa na hatujui atakufaje.