Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

R I P JP MAGUFURI.
 
Kwamba yeye alikua ni bidamu wa tofauti kabisa ambae hakutakiwa kufa??.

Tupunguze kuzipangia cha kufanya nguvu zilizo nje ya uwezo wetu,kiburi huwa kinakua na mwisho mbaya sanaa.

Nashawishika kuamini, wenye mawazo ya kumuona jiwe alikua tofauti na watanzania wengine, ndio kumetufikisha hapa tulipo
 
Ni hao hao kucha kutwa wanaimba uwezo wa mungu, ila ni hao hao hawaamini mungu anaweza kukatisha uhai wa mpendwa wao magu.

Mbaya zaidi hata historia ya magu kua mgonjwa tangu enzi na enzi,hawataki kuizingatia[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Upo sahihi mkuu. Tumepoteza mtu muhimu sana
 
Kiburi huwa na mwisho mbaya sana inaweza kuwa kweli ila huwa kuna watu hawana kiburi ila huwa na mwisho mbaya sana nao kwahio maisha hayana formula muda mwingine
 
Kiburi huwa na mwisho mbaya sana inaweza kuwa kweli ila huwa kuna watu hawana kiburi ila huwa na mwisho mbaya sana nao kwahio maisha hayana formula muda mwingine
Hua ina bariki sana sanaaaa,inapo tokea ukawa mwisho mbaya huku ulikua mtu mnyenyekevu kwa walio chini yako. Hiyo itapunguza maumivu kwa familia na jamiii husika.
 
Wazungu mbona huwa mnawafikiria vibaya hivyo?wao wafikirie kutuangamiza sisi kwa lipi?
Wazungu wenzetu wametuacha mbali sana yaani gap ni kubwa mno kimaisha/kimaendeleo na ustawi wa jamii...tuko nyuma tukijilinganisha nao ni dhahiri wametuacha kwa zaidi ya miaka mia!

Ni sawa na mtu mfanyabiashara mkubwa wa madini aishiye hapa Dar Ktk hekalu lake huko Masaki anayemiliki gari kali za kisasa za kutembelea na malori na mashine kubwa za madini..eti...akose usingizi kufikiria kwenda kumfanyia ubaya mkulima mwananchi wa kawaida anayeishi huko kwetu Bukene kijiji cha mambali...akimiliki usafiri wa punda.....sijui kama hata muda wa kufikiria hayo utakuwepo!

Jamani tutembee duniani tujionee tutembee tujifunze!.....exposure nayo muhimu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…