Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Sasa tuhuma hii atathibitisha nani?
Mwendazake aaminike au ni kuchafuana tu?

Tusiwe tunapokea taarifa yoyote na kumeza tu, tujaribu kuchakata
 
1. Jamaa ni mjinga sana kujiua.
Yani Marehemu ni mpumbavu sana.

2. Eti kujiua kwa sababu alikuwa anatembea na mke wa Masanja ni uongo sana.
Yani wametegea huyo bwege amejiua ndio waanze kuzusha.

TAZANIA INA WAJINGA WENGI SANA.
Watakao amini wote ni wajinga pia.
 
Huyu katibu, alishawishiwa na mke wa mchungaji!? au alibakwa? Kwa mara nyingine amewaachia mtafaruku mchungaji na mkewe.
 
MAMA MCHUNGAJI UNAVAA KIMITEGO UNATEGEMEA NINI?

KANISANI MNAVAA OVYO MBONA MKIENDA KWENYE INTERVIEW ZA KUOMBA KAZI MNAVAA KIHESHIMA?

KIZAZI CHA ZINAA NYIE TUKIWASHAURI MNATUONA WASHAMBA!
Wakati mama mchungaji akimtega mchungaji, na hawa wengine wakajikuta wametegeka........hii kitaalamu tunaita collateral effect.
 
Masanja Simpendagi tu..na sina sababu yoyote ila kwa hili kwa kweli anapita kwenye hard time..halafu tucheki scenarios mbili...
1.inawezekana masanja aligundua huu uhusiano akaupiga pini
2.Na baada ya kuupiga pini ndani ya mwezi akaamua kumaliza mchezo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…