AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Hakuna kitu kama hiko. Hawa viumbe hawajui wanataka nini. Hao matajiri wanaoingoza duniani wake zao WA naomba talaka eday.Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Mkijifungua utamu pia unaongezeka, nimemkumbuka Dr. Mmoja ngoja nimsalimieExactement.
Usiamini Mambo ya mtandaoni,huko ndani kwao leo Ni firee....Hilo jambo sio dogo,sema mchungaji hataki kuharibu chanzo chake cha mapato inabidi akaze kiume
Sasa si mnasema wanaume watafute pesa. Wakitafuta nako shida tenaNdoa ilikuwa tayar masanja pesa anayo time na mke hana kutwa kutafuta pesa wacha wamsaidie kumpakulia mkewe
Huyo jamaa atakuwa muhehe tu!! Yaani unaibia penzi la watu halafu unataka kujenga kibanda!!??Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
Wajibu TuHiv hao watu mpaka wanaoana wanakuwa wamependana kiaje...
Au ni kutimiza wajibu?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Haya mambo usiyaamini sana,utapasuka kichwa.Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Kama hivyo sawa...Ila marehemu alikuwa mkuda sanaInasemakana aliweka status pia
Ukiwa na pesa nyingi ,time na mke unakuwa huna.Jamaa alikuwa akiishi kwenye majaruba ya mpunga huko kapunga,mbeya mwezi mzima, huku nyuma ule mzigo anategemea ulindwe na nani?Sasa si mnasema wanaume watafute pesa. Wakitafuta nako shida tena
😄Masanja angekubali kumuachia jamaa mkewe??
Ni swali au maoni yako?Kwenye hilo kanisa monica ni mmoja tu
Masanja yuko USA anawezaje kuwa kwenye kipindi Bongo?Taarifa hii inasambaa kwa kasi sasa hivi baada ya kuripotiwa kuwa katibu wa kanisa la Masanja mkandamizaji amejinyonga na kuacha ujumbe wa kwamba asamehewe kwani alikuwa anatembea kimapenzi na mke wa mchungaji Masanja.
Ujumbe huo umeshitua wengi kwani mke wa Masanja ni mtulivu sana.View attachment 2374737
Asiamini wanawake,maana ukiwa huna kazi utaachwa na ukiwa busy na kazi utaachwa tu....yaani Kama njomba nchumali,ukikimbia nchale,ukisimama nchale,ukikaa nchale😁Sasa si mnasema wanaume watafute pesa. Wakitafuta nako shida tena
Yeye mwenyewe muhuni. Atulie tuKama ni kweli nampa pole nyingi sana Emmanuel aka Masanja
Mungu amtie nguvu na kumuongoza kwenye maamuzi sahihi