Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

naomba picha ya katibu wa kanisa tafadhali
 
Bado sijaona sehemu inayothibitisha kuwa monica ni mke wa masanja..
Hapa bado kuna shida ngoja ni subscribe kwa mange kimambi app
 
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
lazima ugongewe
 
Bila shaka kuna jambo lilimkuta
Hapana Mkuu unajua hii kupigiwa au kupiga siyo kwamba imeanza leo hata zamani haya mambo yalikuapo sana tu, sema wazee wetu walikua waelewa sana kwenda mpaka watoto mkstambua itakua huyo mama hana adabu sana sema kwasasa ni hizi simu zinaharibu zaidi maana kila kitu ni simu hivyo ukitaka kuumia fatilia sana,, lakini nashukuru mke wangu aliamua kukaa kwenye mstari na ilibidi yule kijana amtukane sana maana kitu cha kuchukua picha ya mtu na kuposti bila ridhaa yake ni udhalilishaji mkubwa mno, mbaya zaidi ni mke wa mtu hapa ningeamua kufanya ubaya nadhani hata huyu kijana asingeweza kujua ni nani kamfanyia, maana nilijua nikimfanyia hivi huyu moja kwa moja na mwanamke ningefanya na zaidi mie niliangalia upande mwingine wa sarafu kwamba hivi mimi sijawahi fanya hivyo nikajiona nimefanya sana tu, ndio maana nikaamua kuachana na maamuzi mabaya zaidi ya kumkanya. Lakini sijui vijana tunaelekea wapi kwangu mimi hata iweje kama mwanamke wa mtu nikiona anataka kuzidi lazima nimwambie ache na zaidi huwasisitiza kuheshimu waume zao haijalishi kuna nini kwangu na sikubaliani na mwanamke wa mtu kunipenda... Hivyo ukiamua kujisimamia kwa hivyo utakua mshauri mkuu wa mke wa mtu huku ukiwa unatembea nae tena vizuri tu.
 
Kweli naamini uzuri wa mtu upo machoni pa muangaliaji. Mimi namuelewa sana mke wa masanja.
[emoji1][emoji1][emoji1]

Kuna mabinti wengi wako mitaan ni wazuri kuliko hao mastaa!


Huyo Nandy nenda mbezi beach Shule utamuona maaana kuna Ukumbi huwa anafanya mazoezi daily.

Kama hujaambiwa huwezi Jua ni yeye , ni WA kawaida saaaana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Katoka kujiita wa kisasa huko na kwamba tusimfananishe na wahubiri wetu
Kanisa la Masanja linaitwa FEEL FREE CHURCH. Maana yake ni kwamba linakaribisha mtu yeyote wa tabia yeyote. Linaruhusu watu kujiunga na tabia zao. Namshangaa huyu Bwana kujiua ilhali akijua Mchungaji Masanja anaruhusu tabia za aina yeyote? Kwa ufupi Masanja angechukulia poa hata kama angejua mama mchungaji anaombwa uroda na katibu.
 
Hapa naona Nia ovu ya kutaka kumhabiria masanja na dhehebu lake ,
Pengine jamaa alimtamani kweli mama mchungaji, lakini alipotolewa nje na kugundulika ,
Akaona amharibie ndoa yake na kanisa

Kwani Kuna katibu wa kanisa la filifriichachi kafa? Kama kafa je amejinyonga? Kama hakuna katibu aliyefariki hapo tunaweza kusema ni uzushi ,ila kama katibu kafa kwa kujinyonga basi hapo 50/50.
 
Sijawahi kuona kijana mjinga na mwenye maamuzi ya ovyo kama uyu....Raha zote izi za dunia unaziacha unaenda na zambi zako ,yooooo IT MUST BE LOVE BUT ITS OVER NOW...
 
Back
Top Bottom