Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.Wangekua wanamlilia hata timu ingeshapotea...... Kikubwa kufundishana adabu liwe funzo na kwa wengine wenye mawazo hayo
Kwani tokea agome kucheza Yanga wamepoteza kitu gani? Yanga anatetea haki yake sababu kawekeza hela yake.Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.
Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.
Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Anaanza kufunzwa hapahapa ngoja arudi atandikwe fine halafu hao wanaomtaka wamlipie waonyeshe upendoSasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.
Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.
Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Hayo ni matendo ya jinsia ya kike ni ishara ya udhaifu mkubwa sana.Anaanza kufunzwa hapahapa ngoja arudi atandikwe fine halafu hao wanaomtaka wamlipie waonyeshe upendo
Hajui hata maana yake hiyo, amewekewa na Shangazi.Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFFView attachment 2611285
Kaandikiwa na shangazi, yeye ni mla ugali sukari tu.Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFFView attachment 2611285
Power of negations.Ila sio fair kabisa kwamba Lazarus Kambole na Herritier Makambo wamezidi mshahara Feisal. Siyo fair hata kidogo. Kwanini wazawa wanaradharauliwa hivi?
Pale Msimbazi inabidi Mzamiru naye alianzishe. Haiwezekani Sawadogo awe na mshahara mkubwa vile.
✌️✌️✌️✌️Niliona Mama yake akiongea sehemu. Huyu mtoto anapewa kichwa, sehemu nyingi.
Wanampoteza na bado mdogo, wataua kipaji chake kwa ujinga.
Una fikiri kutumia nini kufikiri?, Yaani yanga waache haki yao ipotee kisa isionekana kuwa timu ndogo?.Puuzi kabisa wewe.Sasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.
Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.
Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Hawamlilii mchezaji bali wanataka afuate taratibu za kuvunja mkataba.Yanga ni timu ndogo sana.
Wanamlilia mchezaji .moja tu namna hiyo??
Ningeita Press Moja matata niombe msamaha mkubwa hadi kupiga magoti mpira wa faida unachezwa miaka 8 mpaka 10 tuAsisahau kwamba "wakati ni ukuta hauwezi ukashindana nao",ningekuwa mimi ningejishusha tu maisha yaendelee kuliko hivi kusumbuana miezi ikisogea hatma ikiwa haijulikani.
Hao yanga watamtia njaa huyo mtoto akija kushtuka atakuta amebaki na hela ya kununulia mtumbwi wa uvuvi tena ule manual akavulie Kasa huko kwao Pemba.
Business wiseHayo ni matendo ya jinsia ya kike ni ishara ya udhaifu mkubwa sana.
Na Tv nzuri halafu kwa bei chee tu ni Electroplus Android TV 11.0 FHD😀😀Dogo chizi.
Badala atazame mkataba wake anatazama wa mwenzake.
Hawa hata ktk life huwa huangalia jirani kanunua tv gani na wao wanunue
Vurugu Gani mtu kudai haki yake??Hawamlilii mchezaji bali wanataka afuate taratibu za kuvunja mkataba.
Wakimwachia kienyeji, kesho wakatokea wengine wenye madai ya kipuuzi kama huyu so itakuwa vurugu?!
Eti hawana uwezo wa kupata Replacement,bila Fei timu imepata mafanikio kibao yanayowaumiza nyie wabimba macho, replacement zake zipo kibao mpaka namba zimekuwa za kugombania siku hizi Mudathir Yahya yupo on fire,Sure boy yupo on fire,Farid Musa yupo on fire yaani kiufupi kuanzia dimbani mpaka mbele hata aje leo Fei hampigi benchi yeyote pale YangaSasa si wamuache akajifunze adabu huko mbeleni.
Yanga hawajiamini na wanajua kabisa hawana uwezo wa kupata replacement.
Timu kubwa Huwa hazipambani na wachezaji wadogo wadogo kama Feisal.
Mkuu sijui kama umeajiri au umeajiriwa.Vurugu Gani mtu kudai haki yake??
Huyo ni binadamu ana haki ya kufanya akipendacho sio mtumwa wa mtu.
Yanga wanachofanya ni kukiuka haki za binadamu.
Ni ubinafsi tu wa hao viongozi.
Jiweke wewe kwenye viatu vyake uyasikie maumivu yake.
Mkataba, mkataba, mkataba, sijui issue ya mkataba yunaifaham au ukiambiwa tutakulipa 500/- unasaini baada ya miezi unarudi kusema 500/- ndogo sitaki?.... Kwanini wazawa wanaradharauliwa hivi?
Mkataba, mkataba, mkataba, sijui issue ya mkataba yunaifaham au ukiambiwa tutakulipa 500/- unasaini baada ya miezi unarudi kusema 500/- ndogo sitaki?.
Alafu dogo kaaandika "Siku ya heshima kwa wazawa Yaja" so tusubiri labda ataleta mapinduzi ambayo yeye atakuwa njia kwa wengine!.