Kuna kazee flani leo kutoka kundi la Hezbollah, kamesimama kuwatia shime wapiganaji wa Hezbollah na kuhimiza mapambano yaendelee,
Sijui usalama wake kaamua kuutoa rehani?
Maana Israel kapukutisha viongozi wakuu wa Hezbollah zaidi ya 10 kwa muda mfupi kwa mbinu zote za kijeshi na kigaidi yeye anatumia tu kuangamizia viongozi
Lakini wapo sahihi.
Maana viongozi hao si ndiyo walifanya vikao na kukubaliana kuleta hayo mabalaa, sasa wanavuna walichokipanda.
Ni mwendo wa kuliwa tu vichwa hukohuko wanakoona wao kuwa wapo mafichoni😁😁