Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa likifadhiliwa na Iran ili kulinda interests za Iran mashariki ya kati ikiwa ni pamoja na kuishambulia kijeshi Israel 🇮🇱.

Anaomba walebanoni watumie wakati huu kuifanya Lebanon 🇱🇧 iwe kitovu cha amani mashariki ya kati kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Soma Pia: Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

View: https://x.com/netanyahu/status/1843694164690846055?t=vWVZnHVLdy0g5URP0Hk3bw&s=19

Netanyahu anwawahisha Magaidi wakastarehe na mabikra zao 72.
 
Israel wameshalaaniwa. Wanapenda sana vita.

Ni hulka ya shetani kupigana na kuchukiana.

Washindwe kwa jina la Yesu wa Nazareth Myahudi mpenda vita kama Mayahudi mengine
Aisee, ni kweli ila sik ya mwisho watamuelekea Yesu na kuokoka.
 
Aache longolongo, arushe hata jiwe hapo Teheran aone shughuli yake.
Mlianzia kwa Hamas, oohh akiingia Gaza ndio mwisho wa Jeshi la Israel, akiingia kibabe vilio vikaanza anaua wanawake na watoto ila hadi muda huu Hamas ni kama imeisha. Kutoka hapo tukaambiwa Hezbollah ni moto wa hatari, huko Idrael hatii mguu, tena 2006 alishindwa vibaya! Hezbollah wenyewe wako wapi, Israel kateka eneo lao karibia lote, wengi wamekufa na baadhi wamekimbia. Hezbollah wenyewe kwa sasa wamesema wako tayari kufuata azimio 1702 la Umoja wa Taifa liliwataka wakae mbali na mpaka wa Israel na Jeshi la Lebon ndio liwe karibu. Hapa ni muda tu ila Hezbollah kashachapika tayari.
 
Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa likifadhiliwa na Iran ili kulinda interests za Iran mashariki ya kati ikiwa ni pamoja na kuishambulia kijeshi Israel 🇮🇱.

Anaomba walebanoni watumie wakati huu kuifanya Lebanon 🇱🇧 iwe kitovu cha amani mashariki ya kati kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Soma Pia: Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

View: https://x.com/netanyahu/status/1843694164690846055?t=vWVZnHVLdy0g5URP0Hk3bw&s=19

unataka raia wakusaidie vp misaada imekwamahuko nini
 
Bonge moja la speech kutoka kwa bonge moja la kiongozi
 
Screenshot_20241008-180438.png
 
Israel wameshalaaniwa. Wanapenda sana vita.

Ni hulka ya shetani kupigana na kuchukiana.

Washindwe kwa jina la Yesu wa Nazareth Myahudi mpenda vita kama Mayahudi mengine
Wewe hakuna unachojua nenda ufue madaso huko.
 
Back
Top Bottom