Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

Mwambie mayahudi warudi kwao waliokofukuzwa na kuuliwa na wazungu kabla ya kukimbilia Palestina
 
Mfano Nasralah, kambi yake ya handaki ilikuwa chini ya majengo ya taasisi za kiraia.

Walipotamani kumuondoa ilibidi wafumbe macho, ili kuondoa tatizo ni kupukutisha majengo yaliyopo juu ili kumfikia 'bwana mkubwa'.
Hii ndio njia pekee ya kudeal na hao wahuni. unapeleka moto na masikio unaziba wataelewa tu
 
Mfano Nasralah, kambi yake ya handaki ilikuwa chini ya majengo ya taasisi za kiraia.

Walipotamani kumuondoa ilibidi wafumbe macho, ili kuondoa tatizo ni kupukutisha majengo yaliyopo juu ili kumfikia 'bwana mkubwa'.
Na ndo ukweli upo hapa
 
Mfano Nasralah, kambi yake ya handaki ilikuwa chini ya majengo ya taasisi za kiraia.

Walipotamani kumuondoa ilibidi wafumbe macho, ili kuondoa tatizo ni kupukutisha majengo yaliyopo juu ili kumfikia 'bwana mkubwa'.
Mkiristo wa jf umejaa prooganda
 
Safi sana, na hiki ndicho kinachowa- cost magaidi ya Hezbollah
 
Aache longolongo, arushe hata jiwe hapo Teheran aone shughuli yake.
Hezbollah calls for truce
Hezbollah's deputy leader Naim Qassem said he backed attempts to secure a truce.
For the first time, the end of war in Gaza was not mentioned as a pre-condition to halting the combat in Lebanon.

He said he backed moves by speaker of parliament Nabih Berri, a Hezbollah ally, to secure a halt to the fighting.

Naim Qassem AP
Mdogo-mdogo nyani anatema bungo.
 
Mwambie mayahudi warudi kwao waliokofukuzwa na kuuliwa na wazungu kabla ya kukimbilia Palestina
Myahudi arudi kwao walikofukuzwa na kuuliwa na wazungu wapi mkuu?
Endeleeni kumezeshwa huo uongo huko madrasa halafu mnaanzisha vita ambayo mwisho wa siku mtamhalalishia Israel kuchukua na kujimilikisha maeneo yenu kwani hamtaweza kumlipa fidia atakapokuwa ameyateka kwa gharama ya vita.
 
Wakikubali tu hii wamekwisha wataanza migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na neta atakuwa anachekea pembeni.

Ni ngumu sana raia wote kuafikiana na kuwa kitu kimoja.
 
Live translation kwenye TV Bi Nyau akiangalia ilikuwa hii:

Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

Inasimama vita Gaza, inasimama vita Northern Israel.

Tafsiri ya kwako umeilokota wapi?
 
Muamuzi wa vita ya Hezbollah ni Iran. Bila kusitisha vita Gaza hakuna amani hapo Israel watu Kila siku wanshinda kwenye mahandaki Jana tu wamerusha rocket zaidi ya 80 huko Haifa. Hamas wenyewe Jana wamewashambulia Israel. Na hata Leo wakazi wa Gaza wameanza kurud kwenye makazi yao yaliyobomolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…