Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jiwe alitamani kumvuruga Mzee Ruksa kwa nini aende kumuona Lisu ....Saa 100 pia alienda....Amb Sikoine alienda Belgium weeee....akarudishwa faster...ngumbaniHivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi
Toa Maoni yako .
View attachment 2923057
"President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me speedy recovery. May he Rest in Eternal Peace!" - Tundu Lissu
Amechapia ???lisu angeandika kiswahili tuh
Sio Wachache bali mwanasiasa pekeeHuyu mzee dini ilimshiba moyoni. Ni wanasiasa wachache wanaojielewa na kujua kwanini wameumbwa
Adadi alimtetea Ubunge wake akapewa Mwana fa 😂😂😂🔥Jiwe alitamani kumvuruga Mzee Ruksa kwa nini aende kumuona Lisu ....Saa 100 pia alienda....Amb Sikoine alienda Belgium weeee....akarudishwa faster...ngumbani
...was a kindly man...Amechapia ???
hatari sana mkuuAdadi alimtetea Ubunge wake akapewa Mwana fa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
khe !Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was wa Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Halafu baadaye akafa yeye kibwege sana .Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was wa Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Kuna haja ya kuchunguza Wagombea Urais kama ni Wachawi au La , Mchawi asipewe nafasi ya kugombeaJiwe alitamani kumvuruga Mzee Ruksa kwa nini aende kumuona Lisu ....Saa 100 pia alienda....Amb Sikoine alienda Belgium weeee....akarudishwa faster...ngumbani
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was wa Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Kila mtu atakufa kibwege mbona hata lisu alipigwa risasi kibwege ambazo zilikuwa zinamchagua yeye tu dereva zinamuacha?Halafu baadaye akafa yeye kibwege sana .
Life tena huko liliko na liungue moto mkaliNadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was wa Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Na mtapukutika wote , Wauaji wakubwa nyie ! mmebaki Wanne tuKila mtu atakufa kibwege mbona hata lisu alipigwa risasi kibwege ambazo zilikuwa zinamchagua yeye tu dereva zinamuacha?