bassarere
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 294
- 554
amestaafu kwa sasaMmmmmm alitawaliwa na Sitti nchi ikawa chini ya waarabu wa kariakoo....wapiga deal wa unga....Wapi Capt Aziz...? Alikamatwa mzigo mkubwa dhahabu kwenda London ....akiwa Pilot ...akafungwa baada muda mfupi akapewa msamaha na Rais Mwinyi...miaka 2010 nilimuona akiwa na Coastal aviation ....akirusha hizo ndegelabda sasa mtu mzima ....