Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.

Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.

Magufuli was a Satan in human face.

Afe tena huko aliko.
Jamaa ana roho mbaya kuliko shetani mwenyewe
 
Mwenyezi Mungu akakataa katakata Lissu asife akaamua kuliua lenyewe sheitwani baradhuli eti linajiita Jiwe au Kichaa! Liendelee kuungua milele na milele huko Jehanamu!
Hahaaahaha sipati picha jinsia anavoteseka kwa ziwa la moto
 
Tatizo hujui kuwa JPM alikuwa nani. Kwa upuuzi wako utamuona shetani. TAL alijitakia mwenyewe na alistahili alichokipata
Ndio jpm ni zaidi ya shetani katili roho mbaya aliingilia kazi ya Mungu na hasira za mola zilamuondoa kwa namna ya kizembe sana kimya kimya
 
Mkuu Sexless , unless una uthibitisho, na ushahidi.
Japo JPM hakuwa malaika, ila pia hakuwa shetani ndio maana amekwenda peponi, na hivi tunavyozungumza hapa, yuko mbinguni kwa Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kwa sisi Wakristo, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, hivyo kwa mujibu wa sheria ya karma, mtu hata ukitenda maovu kiasi gani, ukaja kutenda mema mengi kuliko yale maovu, unaingia peponi!. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Magufuli pamoja na uovu wake wote wa mwanzoni, baadae ilikuja kubadilika na kuwa mwema kama malaika by the time anatwaliwa, he was a saint!.

P
Labda kama Mungu ni Msukuma jiwe ataenda peponi lakin kama Mungu wetu sote basi jiwe kwake ni motoni jehanam
 
Nimesoma masters darasa la watu 25, wazazibar walikuwa 8. Niligundua hawa watu wanaroho nzuri kuliko sisi watanganyika. Umbaya wanaofanyiana ni sababu ya ushawishi wetu. Simchuki JPM kama binadamu lakini kwa unyama wake aliokuwa nao Wazanzibar hawawezi kuukubali utawala wake kwa vyovyote kama sisi hata mama mwenyewe.
Hata makazini hawa jamaa nadra sana kuwa na wivu na fitna. Ni watu open sana na very helpful
 
Jiwe alikuwa hatari kwa Taifa
Kushinda huyu?
maxresdefault.jpg
 
Huko kaburini lilimo litakuwa linapitia mateso makubwa sana. Litaungua moto wa milele na milele. Amina.
Ndio maana walikuwa wakiomba dua Mwendazake Ali H. Mwinyi apunguziwe mateso kaburini? Kumbe

iu
 
Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.

Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.

Magufuli was a Satan in human face.

Afe tena huko aliko.
Binafsi natumaini yeye tayari moto wake keshaukwaa
 
Ndio maana walikuwa wakiomba dua Mwendazake Ali H. Mwinyi apunguziwe mateso kaburini? Kumbe

iu
Yes. Lilienda kwa Mwinyi aliombee msamaha kwa Mungu lipunguziwe adhabu huko Chato linamoozea kaburini.
 
Back
Top Bottom