Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa.
Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa.
Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake.
1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha kutowapa elimu ya dini.
Baada ya kuondoka dunia hii mtoto mwenye dini ndio atakusaidia. Atakuombea dua na atakutolea sadaka ambayo itakuaa na faida kubwa kwako. Mtoto wa shule ukifa tu atakimbilia mali na kuzivuruga. Ukiumwa tu mtoto wa shule bila madrsa atataka ufe atumie mali, huruma hana
2. Kuupa kipaumbele dini yako badala ya siasa. Kuisoma dini yako . Ukifa huzikwi na nyimbo za Chama. Ukifa unazikwa kiislam na dua kwa wingi. Hii inamaana dini ndio kila kitu
MIAISHA YA DUNIA NI MPITO TU. AKHERA NDIO KILA KITU
Sema: Starehe ya dunia ni ndogo, na Akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu...” (Kurani 4:77)
“Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao. Lakini nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa walio mcha Mungu. basi hutaelewa?” (Quran, Al-An'aam: 32)