Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Mwanasiasa ambae alikuwa Atheist alikuwa ni Hayati Kingunge Ngombale Mwiru na alikuwa hana kashfa ya kuliibia Taifa tofauti na hawa wanaojifanya kuwa wana Dini na mafundisho na wanaapa kwa kutumia Vitabu vya Dini.
 
Mwanasiasa ambae alikuwa Atheist alikuwa ni Hayati Kingunge Ngombale Mwiru na alikuwa hana kashfa ya kuliibia Taifa tofauti na hawa wanaojifanya kuwa wana Dini na mafundisho na wanaapa kwa kutumia Vitabu vya Dini.
Sasa unamjua anaishi vipi huko aliko? Pengine anajuta kwanini hakuwa muislam( Wallah aalam)
 
Unatawaliwa na muislam alienda madrsa. Tundu Lissu muulize vipi alienda sem na alienda madrsa bora yupi?
Udini umekujaa, Tundu Lissu kaingiaje kwenye hoja ya dini yenu? Au huyo anaeongoza pamoja na madrasa yake ni jipya lipi alilonalo kuliko hao wengine?

Shikeni huo Uarabu wenu, wala hakuna mtu mwenye shida na dini inayofundisha watu ugaidi na kujilipua mabomu.
 
Muulize lissu ukhti aliesoma madrasa na yule aliesoma seminary nani bora? Hio ndio hoja. Mbona umekasirika hivyo?
 
kwahyo mudi aliwambia chanzo cha joto ni kupumua kwa jehanam😂
 
Mfuasi wa gwaji boy. Anakulisha sumu ktk mahubiri yake
 
Hakuna mtu anataka mwanae akafundishwe ugaidi.
Maryam, mama yake Isa (YESU) ni miongoni mwa wanawake wanaoheshimika miongoni mwa Waislamu. Mwenyezi Mungu alimfanya kuwa msafi na akamchagua kutoka miongoni mwa wanawake wote. Isa (AS) alishuhudia usafi na wema wa mama yake akiwa angali mtoto mchanga. “(Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai." ( Aya ya 30-33 ).
 
Badala ya kufanya yaliyomema na kuendana na njia ya Mungu nyiye mnasubiri dua za watoto wenu baada ya kufariki!! Dini nyingine zinawafanya watu wawe kama misukule.
 
Elimu yenyewe kama hii ina faida gani?View attachment 2826970
Maryam, mama yake Isa (YESU) ni miongoni mwa wanawake wanaoheshimika miongoni mwa Waislamu. Mwenyezi Mungu alimfanya kuwa msafi na akamchagua kutoka miongoni mwa wanawake wote. Isa (AS) alishuhudia usafi na wema wa mama yake akiwa angali mtoto mchanga. “(Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai." ( Aya ya 30-33)

WAKIRISTO SOMENI MAANDIKO HAYA KUTOKA QURAN
 
Halafu muache wizi kwa mababu na mabibi wa wayahudi,babu zao na bibi zao mnawataka lakini wajukuu hamuwataki,acheni hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…