Makahaba wanaojielewa siku hizi hawajiuzi huko bar, sjui casino wajanja wamehama huko.

Kwa taarifa yako makahaba saivi wanajiuza online kwenye magroup ya whasap, telegram na mitandao mingine.

Yaani mtu kalala kwake akipata mteja wanakutana Lodge imeisha.
 
Kwani hao amkahaba wanavunja sheria gani Mkuu? mm naomba serikali iwalinde kwa nguvu zote wakiwa kazini kwao maaskari wasiwasumbue. Kama Mungu hadi leo hajamuondoa shetani duniani ni kwa sababu yeye sio dikteta wewe uchague upande unaoutaka. ukiamua kwa Mungu sawa na kwa shetani sawa
 
Ilitakiwa ufikirie kwanza kinachosababisha UMALAYA ni nini na SERIKALI imefanya nini kuhusu hicho kinachosababisha UMALAYA..
 
Ukahaba unasababishwa na malezi mabaya kwa watoto, uvivu, upagani, kukosa malezi, mtoto kukuzwa na mzazi anaejihusisha na ukahaba, umasikini na kutaka kujipatia utajiri wa haraka. Inasikitisha sana mabinti na wanawake kujiuza mtandaoni, korido na kwenye maduka ya vinywaji. Vijana wa kiume acheni ushoga na kampeni yenu ya kataa ndoa
 
Kwani makahaba wanavunja Sheria gani ya nchi? Kama mna nia ya kupambana na ukahaba tungeni Sheria maalum ya kutamka ukahaba kwa namna yoyote iwe ni kosa la jinai.
 
Yaani ulivyoanza tu kutaja mambo ya dini nimekuona wa hovyo nimeacha kusoma.
 
Whatsapp, Telegram, Tinder, Instagram,. Huko watu wamejificha wanapakuliwa kama kawaida.
Pia sheria ni ya zamani sana, wanatakiwa update sheria kuanzia ya kudhurura faini iwe 200,000/ au kifungo Miezi 3

Ukahaba, Picha za Utupu Kifungo Miaka 5, bila faini
 
Ukahaba ni Moja ya biashara kongwe duniani, ukahaba siyo biashara ya karanga au bisi
 
Labda faida ni nyingi kuliko hasara
 
Kwanza hawavunji sharia za nchi ,japo kwa namba nyingine ile kazi wanayofanya wanaweza shtakiwa kwa kosa la uzurulaji..kwa. taarifa yako kuna miradi pia inawasupport kwa njia moja au nyinginevkwa kuwapa elimu ya kujikinga na dawa kinga za maradhi km ukimwi,wanapewa uzazi wa mpango condom pia. lkn pia ukahaba ni vitendo cha faragha labda umkamate live akijiuza wazi wazi unaoosema casino na baa zifungwe ile ni starehe za watu (wakataa ndoa wataponea wapi)na ukahaba ni biashara ya kihistoria toka enzo na enzi inarithiwa tu na wavivu wa kufikiri namna ya kupata pesa kwa njia zilizo rasmi..
 
We ndo naona unaupungufu wa maarifa pamoja na dada zako...hao wauza mbunye.. kila mtu akiwa na shida ndo auze mbunye dada ako unapenda afanye kazi hiyo hata kama kakosa ajira. ... wangapi wadada wanatafuta hela tofauti na kuuza mwili wao. We naona uko na akili finyu sana.
We unatengemea ajiri ona ulivo na akili ya kitoto
 
Fact sana bro umenenaπŸ™πŸ™πŸ“ŒπŸŽ‰
 
Ipige marufuku ukahaba wakati kuna kampeni ya kataa ndoa inapamba moto, je hao wakataa ndoa wataenda kuponea wapi? Cha ajabu viongozi wa dini wako kimya hawajatoa matamko ya kupinga kampeni za kataa ndoa. Idadi ya ndoa zinazofungwa kwa mwaka itashuka kama hawatakemea
 
Nipo Tandika mtaa wa Soweto , nawaona wadada wamekaa katika sturi kimuonekano wa nje wanaonekana wamechoka Sana hakika Mkuyenge unazeesha Sana na Papuchi zinaua maana wazee wa Mtaa wamekufa wote na wamebaki vijana tu wa mwaka 2000+


Wanawake bado mna safari ndefu Sana na mna roho ngumu hivi mnawezaje kuhimili bakora tofauti tofauti za watoto wa mwaka 2000+ maana wazee wote wamekufa kwa kuendekeza Papuchi.


Basi nahitimisha kwa kusema hii Kazi ni ngumu Sana maana wadada wamechoka hatari na wazee wote wamekufa
 
zina wafanya wanakuwa na matumbo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…