Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Qioted:
Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?
 
Inawezekana pia.
Kwanini madereva tu ndo wawe wataambukizwa corona?.
Vipi raia wao wa kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Madereva ni sehemu ya watu waliopimwa mpakani kabla ya kuvuka. Na gari inaruhusiwa kupita na dereva tu. Kama na mautingo wakipimwa itakuwa aibu kubwa. Kifupi hatuna uwezo wa kupima watu wetu na wachache waliokuwa wakipimwa vipimo vimesimamishwa. Takwimu yoyote baada ya hapo ni batili. Na kwa mtifuano wa fukuzafukuza wizara ya afya, ni wanajeshi tu wanaweza kustahimili teuzi za enzi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wazungu na vibaraka wao wajifungie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Rais katutangazia kwamba ugonjwa wa corona una pungua Tanzania na kutoa data. Pia amesema mtoto wake aliugua na sasa amepona.

Juzi juzi alituambia wapimaji wana tumiwa na mabeberu na mashine zina pima hata sample za mbuzi na kutoa majibu ya positive. Na sasa maabara iko kwenye uchunguzi.

Sasa nauliza, hivi matokeo ya vipimo amepimia maabara hiyo hiyo au?
 
Waenezaji wa hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Nafkiri tumuunge mkono Rais wetu, yuko sahihi, kwanza kaanza na vyuo akiamini hawa ni watu wazima na wana uwezo wa kufuata masharti na maelekezo ya madaktari, pia kufungua milango ya Utalii si jambo baya, ila nashauri watalii na wanavyuo kutumia tiba mbadala kujikinga na kutibu Covid 19, Pale uwanja Wa ndege ziwekwe,NIMRI Caf za kutosha kuuziwa watalii na ni lazima wanunue na kutumia,ikiwezekana iwe katika package ya price ya Utalii, wanafunzi pia wapewe za kutosha,huu ugonjwa ni Mafua tu tunayamudu,Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wakikujibu nitagi.

not everyone is willing to take the risk!
 
Na raia wao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana, Raisi wa nchi sio mtu mmoja ni taasisi kubwa sana na yenye nguvu na uwezo. Taasisi ya uraisi inautaalamu wa kila aina, ina uwezo wa kupata taarifa zote muhimu ya jambo lolote kwa wakati wowote. Endelea kujifunza utaelewa nina maana gani.
 
Thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…