Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Na hoja ya wanafunzi wa kigeni wanao soma hapa nchini umeielewa?

not everyone is willing to take the risk!
Wanafunzi wa kigeni hawafiki hata 5% ya wanafunzi wote wa vyuo, haiwezekani kuacha kufanya maamuzi kwa sababu ya watu wachache kiasi hicho.

Wao watakua na maamuzi either waje au wasije kutokuja kwao hakutaathiri chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala mtambuka sana hili... Sehemu mkuu yuko sawa sehemu nyingine anaharibu kabisa..
Hapo anapotakiwa athibitishe kipimo kilichotumika kuonesha kupungua kwa maambukizi kama ni kile fake au amepata kingine?
Kutokutangaza WAHADHIRIKA wa COVID-19 hakumaanishi umetatua tatizo......
 
Hayo unayajua wewe, tunachojua sisi ni kwamba Corona imepungua makali yake hapa nchini na muda sio mrefu shughuli zote zitarudi kama kawaida.
WHO wamesema tutaishi NATO kama tunavyoishi na ukimwi, uaipofiata maahart ya afya unaliwa kichwa mambo yanaendelwa.
 
Tuna hasara miaka hii.

Mkapa na JK wameshindwa kulirudisha jini ndani ya chupa,tunajuta kumpa urais.

Kupiga push up na kuruka ruka si mbinu ya kumpata rais bora



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivyo na kwenye mambo ya siasa, rafiki yake na mzalendo wa nchi ni yule anayekubaliana naye na kumpigia makofi kwa kila jambo na ukitaka mkosane naye jaribu kwenda kinyume na mtazamo wake.

Hata kwenye mambo ya kitalamu nako anataka vyombo vya kimaabara visome kama anavyotaka yeye, vikileta majibu yasiyofurahisha moyo wake tayari vyombo hivyo vimetumika na mabeberu wasiyotutakia mema.
 

Hizi ndizo akili zinazohitajika hapa JF. Bravo ndugu.
 
Hii issue ya corona dawa yake ni kujiondoa akili tu maana WHO wenyewe washasema corona haitaondoka duniani
Katika hili la corona Mh. Dr . Rais Mgufuli kaibuka kidedea wa Dunia na ameshinda haswa kaona mbali sana ambako marais wa nchi nyingi wameshindwa kuona waka kurupuka na sasa wameanza tena kurudi kule kule.
 
Unachanganya mafile mjomba...Kuna vitu viwili test kits na mashine za kupimia (PCR machines)..Sasa HV wameachana na testnkis za wachina..wanatumia PCR
Tanzania haijawahi tumia RDT kupima Covid 19. Wanatumia Rt - PCR.
 
Wewe nae ni mpumbavu mmoja humu JF kaa kimia.

not everyone is willing to take the risk!
Mpumbavu babako na mamako waliokuzaa wewe punguani usiye na akili. Wewe ni nani hata useme Rais hatumii akili? Angekuwa babako mzazi ungesema hatumii akili? Mtu umri wa babako unasema hana akili na kiongozi wa nchi. Jifunze kuwa na adabu kwanza. Acha kujitia mjuaji sana. Swine we.
 
Mkuu umeelewa hoja kweli!? Usikute uwezo wako wa kufikili ni mdogo.

not everyone is willing to take the risk!

Niazime zako, ila suala la kuja hapa kusema Rais hajatumia akili anza kujihoji wewe kama zinakutosha kwanza, shirikisha pia wakuzungukao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…