digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Wazee wa wetu wapendwa wa zamani waliwahi kitoa nasaha kwamba akiwepo ngomani mtawala ambaye 'hakubariki' na mizimu, basi hata mvua hugoma kunyesha.watabisha na kukwambia una vyeti feki
Wewe mpumbavu Ngorunde ndiyo umeandika nini sasa? Hoja inajibiwa kwa hoja. Nimesema kukata miti 2.7 Milioni kuna athari kwenye mazingira. Wewe unakuja kuandika pumba hapaSikutegemea kama watu wa mawazo kama haya bado wapo....hii ina maana kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wa elimu yetu.
CCM haifai tena kuwepo.
Aibu kubwa hii..!
Pole kijana, sio kosa lako.
Jielekeze kwenye ukame wa Tanzania, achana na Ethiopia. Kama hukusoma hata Physical Geography O-level Kaa kimya au nenda chit chat kwenye mambo ya mapenzi na mahusiano. Hili ni jukwaa la wenye akili tuWewe utakuwa ni wale wanaoamini Mungu hapendi kuleta mvua kwa makosa yetu. Tangu lini Ukame wa East Africa ukasababishwa na Selous? Au huna taarifa kwamba Erthiopia wako hali ngumu kuliko wewe hapa TZ.
Kichaa naona mwezi umeandama.Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Nenda kaangallie sababu za Danube na Rhine kukauka utuwekee hapa. Kumbuka kila mazingira yako unique na tabia nchi yaliyopo. Don't put sweeping statement kama vile kukwenda hàta O-levelMito mikubwa Ulaya kama Rhine na Danube ilikauka mwaka huu sababu ya ukame. Ina uhusiano na hiyo miti iliyokatwa Selous?
Jaribuni kufuta ujinga.
Mlaumu jk aliuza gesi saivi Tena tunauziwa gesi yetu na tuliyemuuzia. Na ndio jpm kuona nishati ya Bei nafuu Ni kukufua umeme wa maji la nyerere.gesi ingekuwepo cheap nadhani hayo yasingewezekana. Kajk Ni kabinafsi balaaMagufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
..c & p kutoka kwa duduskwahyo miti milioni 2 tu ndo ilikua inaleta mvua tanzania ?
Hizi tabia za kujidai unakosoa mambo ambayo hayana faida hata kwa familia yako hebu acha kwa logic tu ukikata miti 2m ndo iwe chanzo cha ukame.
Mbona hao mabeberu wanaharibu mazingira toka miaka ya 1600 huko leo ww ndo unaona kujenga bwawa kuharibu mazingira mhhh unasikitisha sana
Hakika dunia nzima imeathirika na hali hii🤣🤣Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Bado unaendelea kunishangaza ila hujachelewa.Wewe mpumbavu Ngorunde ndiyo umeandika nini sasa? Hoja inajibiwa kwa hoja. Nimesema kukata miti 2.7 Milioni kuna athari kwenye mazingira. Wewe unakuja kuandika pumba hapa
Vijana wameshajichokea, they will do anything ilimradi mkono uende kinywani...wengine wana chuki to the point ht nyeupe wanakomaa kua ni nyeusi(blinded by the hetrate) na matokeo yake ni haya...Taifa hili linaendekeza siasa za kuchafuana sana.
Mm sio mpenzi wa siasa ila sometimes naona vijana waliopo kwenye vyama vyetu hawana mchango kabisa wao wapo kumfurahisha aliyopo madarakani tu.
Vijana badilikeni kuna mambo mengi yakushauri serikali ila mnapuyanga sana
Tusimlaumu Magufuli,Dunia yote sasa inapitia mabadiliko ya hali ya hewa,kwani wizara inayohusu Mazingira ipo wapi?Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Hakika alifuzu 😆😆Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la kidunia mkuu, sio Tz tu.... kwa mara ya kwanza katika kizazi chetu hiki ukame mkali kuikumba mikoa ya Ruvuma, Iringa na Njombe; Mbeya, Songwe, Rukwa, na Katavi zijiandae. Msitu wa Selous una direct effect ya hali ya hewa kwa mikoa hiyo.
Unyevu ukipungua Selous ni lazima mikoa hiyo iathirke kutokana na geographical location yao against Selous with respect to direction ya upepo. That's the fact Chief.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni JPM huyo.Kweli JPM alikuwa Jiwe, alikata miti hadi Kenya