Wapinzani wataendelea kuikosoa na kuielimisha Serekali ila kiburi cha serikali ya Ccm mavuno yake ndio hayo.Hela wanazotumia kununua Wapinzani zingeweza kununua vivuko hata viwili.Hivi serikali kivuli kazi yake ni nini? Mpaka sasa walikuwa na mkakati mbadala gani?