Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Ukiona hivyo unakuwa huna hisia naye, ukaribu hauwezi kupunguza hisia...yaani ukutane na mtu afu ughairi kumuaproach? Au ndo uoga🀣🀣🀣🀣
Watu tunatamani tuwe karbu na wenza wetu...wewe uko kinyume chake duhπŸ€”πŸ€”
 
Mi Kuna mkaka nampenda hla namuogopa[emoji3526]
Funguka utakuta wenzio wamekamatia ukichelewa, au nawewe hisia zinaisha ukionana nae🀣🀣🀣🀣🀣
 
Stained glass windows in the Benzo, lost in the instrumental keys got me sentimental!
 
Mapenzi ya mbali yanawezekana tu endapo mwanaume yuko ulaya au marekani sio humu humu nchiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hii nimeisoma sehemu
Hahahah kama jamaa akiena mkoa tu mtu anauza utu kizembe tu....Hilo la mtu kuwa nje ndio balaa zaidi.😎😎😎 Kama uaminifu ni mgumu hapa nchini huwezi sema ulaya itawezekana.
 
Iko Deep sana hii nimecheka mkuu! Umeongea kwa hisia af nikiwaza pia niko mbali na mtu wangu for weeks.
Mkuu acha tu. Natamanigi sana kuandika thread kuhusu love life yangu, ila naishiaga kufuta kutokana na hisia ninazopata. Mwanaume kama huna hela kazi ya kumlinda mpenzi wako muachie Mungu. Alaf kama upo mbali nae, acha kujifanya unapiga piga simu kila muda, maana unamsumbua mpenzi wa watu.

Qmamake mapenzi sometimes ni nyoko.
 
Ushawahi ongea na demu halafu ukasikia anafanya clicks kwenye simu design kama anachati na mtu halafu sauti inapotea na kurudi? Ile umeuliza vipi mbona hivyo unaambiwa nagonga tu simu na kucha baby, we unakazi ya kunihisi vibaya tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unajiuliza hivi mtu anawezaje kugonga simu na kucha wakati tunaongea?
 
Long distance bhana unacheat na mwenzako hajui na ndio maana watu wanadumu kwenye hii Long distance.
Nzuri kwa wapenzi msio waaminifu with less supervision πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Hao ndio watakaofurahia hapa ila sie wenye roho za kifilipino kwetu ni maumivu yasioelezeka.
 
Acha kabisa imagine mpenz wako anakuaminisha anaumwa kalala usimtafute au simu inazima chaji ukimkosa hewani ujue sababu ni hiyo kumbe yupo na mpenz wake [emoji23]
Kuna mwanamke alikuwa ananifanyia hivyo, mapenzi ya kibongo bana. Nikawa nampigia after 10 mins unakuta namba iko busy, ile feeling dah! My first heartbreak was severe πŸ€•
 

Hivi huwa ni nini ? Mi hiyo nilishaisikia sana nikiuliza majibu huwa ni hayo
 
Kuna mwanamke alikuwa ananifanyia hivyo, mapenzi ya kibongo bana. Nikawa nampigia after 10 mins unakuta namba iko busy, ile feeling dah! My first heartbreak was severe [emoji856]

[emoji23][emoji23] love is bad addiction alafu apo hutaki kuelewa mwahowe akipokea sim bado anakuwa mkali kama simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…