Huwa nahisi kuna mtu ambaye ni very important kuliko wewe ambaye lazma apewe instant response. Kwangu huwa naona ni utovu mkubwa wa nidhamu nakataga simu hapo hapo.Hivi huwa ni nini ? Mi hiyo nilishaisikia sana nikiuliza majibu huwa ni hayo
Anakutolea povu kinoma, maana we ni kero kwake πππ!!![emoji23][emoji23] love is bad addiction alafu apo hutaki kuelewa mwahowe akipokea sim bado anakuwa mkali kama simba
Ushawahi mfanyia mtu hivyo?Pole mpendwa
Ndiyo nimewahi..ila kama sijisikii kuongea na mtu anafosi tuongeeUshawahi mfanyia mtu hivyo?
Pole mpendwa
Inaumiza sana we unatuma text au kupiga hujibiwi on time lakini kuna muhun akituma tu inajibiwa tena kwa furaha kubwa.Huwa nahisi kuna mtu ambaye ni very important kuliko wewe ambaye lazma apewe instant response. Kwangu huwa naona ni utovu mkubwa wa nidhamu nakataga simu hapo hapo.
Nikikumbuka huwa najicheka sana [emoji23][emoji38] magazeti nishayaandika sana nikidhani mtu atabadilika lakini wapi baadae nikaona ni upuuzi liwalo na liwe haikupita wiki nikaanza kutafutwa mimi kwa hasira nikatia block wakaanza kunitafuta marafiki zake. Marafiki wanaharibu sana mahusiano ya watu(competition kwa wanawake ipo sana kutambiana na hapa kama huna hela kila rangi utaiona). Utasikia mbona wa fulani kafanya hivi, vile aisee moyo umepitia mengi mnoAnakutolea povu kinoma, maana we ni kero kwake [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Dah, unajikuta kwa hasira unamporomoshea sms tu kuwa hapo ndio umelala na simu iko active, anaeza singizia hata ndugu yake anaitumia ilimradi tu na ukikaza kichwa coz unajua ni uongo anakuzima na povu hadi unajiona kama mdudu flani [emoji23][emoji23][emoji23]!
Wanawake wa kibongo ni shida!
Ndiyo nimewahi..ila kama sijisikii kuongea na mtu anafosi tuongee
Broz, yani hayo yote nimepitia kwa uchungu sana. Hadi nikaamua kuwa na attitude ya kibaharia.Inaumiza sana we unatuma text au kupiga hujibiwi on time lakini kuna muhun akituma tu inajibiwa tena kwa furaha kubwa.
Nikikumbuka huwa najicheka sana [emoji23][emoji38] magazeti nishayaandika sana nikidhani mtu atabadilika lakini wapi baadae nikaona ni upuuzi liwalo na liwe haikupita wiki nikaanza kutafutwa mimi kwa hasira nikatia block wakaanza kunitafuta marafiki zake. Marafiki wanaharibu sana mahusiano ya watu(competition kwa wanawake ipo sana kutambiana na hapa kama huna hela kila rangi utaiona). Utasikia mbona wa fulani kafanya hivi, vile aisee moyo umepitia mengi mno
Na anaeshika usukani kuamua yawepo au yasiwepo mara nyingi huwa ni nyie ila mnafanya vibaya sana.
Hahahah sasa mtu huyo anakuwa si mpenzi wako au?Ndiyo nimewahi..ila kama sijisikii kuongea na mtu anafosi tuongee
Kwahiyo Kama ni mpenzi wangu muda wote tuongee tu hata Kama sijisikii kuongea au Nina kazi nafanya..!!.Hahahah sasa mtu huyo anakuwa si mpenzi wako au?
Unyonge huwa unazidi ukiwa huna hela mkuu, yani dah! At times hela ikiwa ngumu mahusiano nayo yanakuwaga magumu.Inaumiza sana we unatuma text au kupiga hujibiwi on time lakini kuna muhun akituma tu inajibiwa tena kwa furaha kubwa.
Nikikumbuka huwa najicheka sana [emoji23][emoji38] magazeti nishayaandika sana nikidhani mtu atabadilika lakini wapi baadae nikaona ni upuuzi liwalo na liwe haikupita wiki nikaanza kutafutwa mimi kwa hasira nikatia block wakaanza kunitafuta marafiki zake. Marafiki wanaharibu sana mahusiano ya watu(competition kwa wanawake ipo sana kutambiana na hapa kama huna hela kila rangi utaiona). Utasikia mbona wa fulani kafanya hivi, vile aisee moyo umepitia mengi mno
Na anaeshika usukani kuamua yawepo au yasiwepo mara nyingi huwa ni nyie ila mnafanya vibaya sana.
kwa kweli wacha ajionee mwenyeweHahahah hajui huyo, ila usimwambie kitu mwache ajionee mwenyewe
yakimkuta atarudiππHuyu jamaa atakuwa hajawah kuwa na long distance relationship, yaani huwa ni pasua kichwa.
Nzuri kwa wapenzi msio waaminifu with less supervision [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Hao ndio watakaofurahia hapa ila sie wenye roho za kifilipino kwetu ni maumivu yasioelezeka.
Unyonge huwa unazidi ukiwa huna hela mkuu, yani dah! At times hela ikiwa ngumu mahusiano nayo yanakuwaga magumu.
Kuwa compared na wapenzi wa watu wengine hasa marafiki zake inauma sana hasa ukiwa kwenye disadvantage. Wanawake wanazingua sana hasa wenye mashosti wanakuaga na akili za kukopa sana thats why i like independent women more
Hujaelewa mantiki ya huo msemo, Yani ni kwamba mwanaume akiwa nje wengi tunaamini huwa wako mambo safi ndo maana uaminifu unawezekana ila akiwa dar to kigoma lazima utasalitiwa tu kwa kisingizio cha umbaliHahahah kama jamaa akiena mkoa tu mtu anauza utu kizembe tu....Hilo la mtu kuwa nje ndio balaa zaidi.πππ Kama uaminifu ni mgumu hapa nchini huwezi sema ulaya itawezekana.
Ni nzuri kukwepa maneno ila unajua long distance huchangia 80% ya mahusiano kufa. Kuna msemo flani ambao huwa una reflect ukweli..."Kadri Umbali machoni unavyoongezeka na umbali moyoni unaongezeka"Una roho ya kiphilipino mkubwalong distance nitamu ujue hukutu mnagombana ovyo eti.
Mambo safi kwamba Ulaya wanawake hamna, ni fikra potofu tu tena kule wanajiuza kabisa official na wanalipa kodi.Hujaelewa mantiki ya huo msemo, Yani ni kwamba mwanaume akiwa nje wengi tunaamini huwa wako mambo safi ndo maana uaminifu unawezekana ila akiwa dar to kigoma lazima utasalitiwa tu kwa kisingizio cha umbali
We mzee ulidukua kabisa akili kama zangu hizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo uliamuann baada ya kuona teyari umesalitiwa?Ni nzuri kukwepa maneno ila unajua long distance huchangia 80% ya mahusiano kufa. Kuna msemo flani ambao huwa una reflect ukweli..."Kadri Umbali machoni unavyoongezeka na umbali moyoni unaongezeka"
Key ni mawasiliano mazuri ila kama pia hapo patakuwa panasua sua ujue mambo yataharibika soon. Kiuhalisia sio kwamba mpenzi wako hashiki simu ila tu priority inakuwa sio wewe maana ukipeleleza utagundua kuna mtu ametumia good morning texts. Kuna kipindi nili track simu nikawa naona mume mwenzangu akitumiwa picha na kupigiwa simu lunch, usiku tena mida ya saa 3 hapo.
Ikifika saa 4 mie napigiwa simu brief ya kuagwa kuwa amechoka anataka kupumzika. Aisee mapenzi ya kibongo kumanyoko.Ila nashukuru the pains taught me to be tough!
Ndo hivyo uaminifu tunauweza kwa wenzenu walioko huko lakini humu humu ni kusalitiwa mpaka ukomeMambo safi kwamba Ulaya wanawake hamna, ni fikra potofu tu tena kule wanajiuza kabisa official na wanalipa kodi.