Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

Pole sana
 
Kwahyo mkuu mlibreak up na huyo manzi?
Kuna mwanamke alikuwa ananifanyia hivyo, mapenzi ya kibongo bana. Nikawa nampigia after 10 mins unakuta namba iko busy, ile feeling dah! My first heartbreak was severe 🤕
 
Kitu sikuwahi fanya ni kufuatilia mawasiliano mpaka ifikie hatua ya kuhack. Kuna jamaa yangu alihack sim ya mpenz wake kilichofuatia alikua anashinda tu ndani mambo hayaendi kutwa kucha anafatilia mawasiliano na mbaya zaidi 75% alikuwa anasemwa yeye vibaya na kuhudumia alikua anahudumia sana.
 
Pole sana, mwanamke huwa anapenda vitu asivyovielewa, akikuzoea sana anakuona wa kawaida hata kama anakupenda, usiwe soft ever. Timiza majukumu kama mwanaume akizingua usilie wala usimuombe ila mwambie, asipo elewa lala mbele. Mimi bado ni old school nataka heshima na uaminifu visipokuwepo naendelea na mambo mengine.
 
I can imagine
 
Na ukiona mwanamke anafata na kutegema mawazo ya rafiki zake, jua fika hamna mtu hapo kuna kenge tu, unajua lazima mtu ukomae ujue nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Mtu asiyeweza kutumia akili zako unakuwa nae wa nini.
 
Hakuna haja ya kuwa nae maana maamuzi hufanya na kamati kuu ya marafiki badala ya kufanya maamuzi na wewe mwanaume wake.
 
Hakuna haja ya kuwa nae maana maamuzi hufanya na kamati kuu ya marafiki badala ya kufanya maamuzi na wewe mwanaume wake.
Hasara kubwa kwa kizazi chetu ni mlipuko wa mitandao, Luna magroup huko WhatsApp unakuta mwalimu mwenyewe ndoa au mahusiano
yamemshinda sasa kama baby wako ni mburukenge anaingia mazima. Mwisho wa siku lazima uwe na misingi yako kama mwanaume na uwe na msimamo.
 
Me nachoamini mahusiano ni ya watu wawili, mkishindwa kuwekana sawa kwa upendo hakuna kitakachosaidia hata aje mkuu wa nchi .Mbaya zaidi ni mwanaume kukubali kuendeshwa miaka nenda rudi, mwanaume inatakiwa uwe na msimamo hata kama haupo vizuri kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…