Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Hahaha kwa hiyo hata mamakibunju amekuwa ni xwife wako, yaani kila mtu anayekupa madongo ya kweli ni Neema haha, badala ya kuona aibu wrwe hadi leo watoto wako wanalelewa na wanaume wenzako na serikali kama matonya wewe kazi kujisifia sijui nilikuwa nalipwa pesa nyingi sana, toka lini dereva wa gari za taka akalipwa pesa za maana haha acha kudanganya wewe, si ungekuwa ushamaliza kale kakibanda chako kinyerezi na ungekuwa hata na viwanja mbezi beach badala ya kulilia offer za kuku vitumbua kwa wanaume wenzako haha
 

Hahaha hahaha Hahahahahah
 


- Leo l;ive with Super Star Shiloe kama kawaida hahahahahahahaha wewe utajibeba huko kwenye mabarafu hahahaha

Le Mutuz
 
- Unasema page 14 Jamiiforums viewers 10,000 wanamfuatilia mtu asiyekuwa na elimu na mjinga? Ina maana hawa viewers ni wajinga? hahahahaha

Le Mutuz

watu wanasoma uzi huu na wanashangaa unafanya nini jf na umejua lini kuandikA so wanakushangaa taahira aliyejua kuandika uzeeni.......!
 
Hahaha hahaha Hahahahahah



- hahahahahahahahahaha life goes on kama kawaida umeona maneno yenu hayapunguzi ila yanaongeza now nasubiri mualiko wa Serena Hotel later nimealikwa na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar my Super Friend Kombo hahahahaha nyie mtaisoma sana mwaka huu hahahahahahahah

Le Mutuz
 
watu wanasoma uzi huu na wanashangaa unafanya nini jf na umejua lini kuandikA so wanakushangaa taahira aliyejua kuandika uzeeni.......!


- HAHAHAHAHAHA tizama mambo ya leo hahahahahahaha mtajibeba sana mwaka huu hahaha

Le Mutuz
 


- HAHAHAHAHAHA tizama mambo ya leo hahahahahahaha mtajibeba sana mwaka huu hahaha

Le Mutuz
Hata aibu hauna mtu unaumwa Nairobi RED EYES bado unakwenda kwenye mikusanyiko ya watu, unaambukiza wenzako tu. Epuka contact na watu hadith upone hayo macho, leo nimekuona Ila nimekukwepa usije niambukiza réduire eyez bure
 
Hata aibu hauna mtu unaumwa Nairobi RED EYES bado unakwenda kwenye mikusanyiko ya watu, unaambukiza wenzako tu. Epuka contact na watu hadith upone hayo macho, leo nimekuona Ila nimekukwepa usije niambukiza réduire eyez bure

- HAHAHAHAHA nilikuambieni nyie mburulazzzz Social Media in Tanzania I am the King now matter what utaishia kucheza my music unaona ulianza kwa matusi sasa unacheza muziki wangu hahahahahaha kudadeki

Le Mutuz
 
Hivi ni sifa kupiga picha na watu maaarufu......i dont get this?????? for sure its better nikapiga picha hata na familia yangu ndugu zangu nikapost kwenye media but not watu maarufu with no special event and purpose.
 

Unajua jinsi ulivyo na mambo unayo yafanya kaka hayaendani SAA zingine MTU anaweza akahisi kuna nut moja imelegea kichwani mwako
 
😆😆😆Binamuuu njoo huku uone mambo naitwa Neema siku hzi... warumi
 
Last edited by a moderator:

Du nimeshakuwa neema tena Hatariiiii
 
Ndiyo stayle ya maisha kila mtu ana style yake jamani mwacheni afanye yake
 

Kwaiyo ww una shule?? Akili kubwa ndo ipoje?!
 
katika pita pita zangu huko instagram nikakuta William Malecela maarufu kama Lemutuz akimsifia tajiri Davis Mosha kwa kununua private jet
Lakini kuna comment iliandikwa akaifuta haraka sana nikafanikiwa kuichunguza nikakuta kumbe ni kweli.
Hapana Hii sio private jet ya Mtanzania ni plane kutoka south Africa yaani ndege ya kukodisha...registration ZS-LOV ni ya south africa na ni kampuni kabisaa ya charter sio ya Tanzania, tumpe sifa za kuwa na jeuri kukodisha ndege kwa lisaa dola 2500 lakini je anastahili pongezi hii? mbona hii ndege si commercial ilikuja na mtu n kuondoka na mtu ina maana billionea aliomba kupiga picha?! na kama kweli Mosha kanunua hii ndege tungeona jina lake hapaa kwenye certified plane owners wa Tanzania listi inakuwa updated monthly Tanzania Civil Aviation Authority : Aircraft Register : List na kama kainunua ni kweli kashindwa kuibadilisha hio tail number kwa kulipia gharama ndogo tu kabla ya kuanza kutumia kwa safari? sidhani kama inaruhusiwa kutembelea hivo kama ndege ni yako ila ina registration ya SA..sio magari haya ati.
Pili Willam akaendelea kusema kua windscreen ilicrack hewani ikiwalazimu kurudi chini haraka. Je hii ni kweli? wajua kama
windscreen ikicrack hewani una sekunde 13 tu hadi ndege iloose control due to loss of pressure! na nd ege hupaa kwa takribani sekunde 30 na hutua kwa 40- 20 ina maana kusingekuwa na survivor...German airwings inasemekana windscreen ilicrack ndo mana ndege ikadondoka...kwa hiyo ni almost impossible kwa jet ka hiii kustahimili windscreen crack. Le mutuz naamini yumo humu. Watanzania tunafanywa ka watoto wadogo hahahahahah

Hivi hivi tulidnganywa Kinje ana private jet wakati ndege ina chataaa kubwa ya kampuni ya Kitanzania ya flightlink!!! tena hii ilikuwa ndege yao mpya embraer 120 er iliekuwa south africa kwa mda huoo...watanzania kwa kukuza mambo hatujambo
https://www.jamiiforums.com/habari-...wenye-private-jet-pekee-tanzania-nzima-5.html
 
Le Mutuz anasumbuliwa na gonjwa linaitwa 'Kujikomba Syndrome'.
Limeshambulia sehem kubwa ya ubongo wake na kumsababishia madhara mpaka katika kuwaza na kufikiri kwake.
Huwa anapenda kuwa wa kwanza kutoa taarifa zisizothibitishwa ili apate affectiona au attention ya wale watu anaowaongelea kwa kuwapamba na kuwatolea matamko mbali mbali in their favour.
Huyu babu hajui kuwa huu ni sawa na upotoshaji
Ila kwa kuwa hao watu wanamuweka mjini wacha awarambe nyayo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…