Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

Huyo kipato chake ni matatizo anajilinganisha na wengine watu pesa wanazo kitu pekee wanaweza kufanya ni kuwahudumia watoto wao kwa kuwasomesha sehemu nzuri
 
Hivi unajua huwa nakupendaga my dear
 
Wakiitwa wasio na marejesho pengine wakatoka mara mbili ya hao wasio na ada.
Acha tu kuna matatizo makubwa zaidi ya Ada na Kodi ,hayo yote yanazungumzika na mtoto anaweza kusoma kwa "MALI KAULI" , Kama OYA wanapiga mtu mpaka wanaua kisa marejesho ,watu wanakimbia nyumba kisa wanadaiwa na OYA ,kabisa wakisema waite watu wa marejesho wanaweza kutoka kanisa zima mbele.
 
Nimeipenda hii expert wangu
 
Point unazijua wewe kidumu mfagio mpaka Chuo kikuu, unasoma chemistry huijui laboratory mpaka unamaliza na unapata A kutoka wapi?
πŸ™πŸ™πŸ‘‰πŸ™πŸ™πŸ‘‰
 
Hata isingekuwa joke mkuu wala haina shida Mimi mtoto wa mjini kwangu Hilo wala haliwezi kuwa tusi.

I mean unawasomesha English Medium ili kusudi iwe Nini?

Mbona unakwepa swali mkuu
Wewe acha kuuliza maswali ya kikuda pesa zako au pesa zake wewe huna pesa peleka kule kidumu mfagio yeye pesa anazo atasomesha kule anapoona panafaa, nafanya kazi private sector unaniambia kwanini usifanye kazi serikalini? Stupid kila mtu ana maamuzi ya kutumia pesa zake tusipangiane
 
Sijakuuliza wewe mkuu usiwe na kiherehere kama mke wa balozi wa nyumba kumi.

Next time u know how to mind ur business
 
Sijakuuliza wewe mkuu usiwe na kiherehere kama mke wa balozi wa nyumba kumi.

Next time u know how to mind ur business
Hilo jibu limekupasuapasua next time utakuja kwa tahadhari, pesa ni zako au pesa ni za kwao na kwanini utupangie kwa kuwasomesha watoto wewe km nani?
 
OYA hawataki mchezo.
 
Hata isingekuwa joke mkuu wala haina shida Mimi mtoto wa mjini kwangu Hilo wala haliwezi kuwa tusi.

I mean unawasomesha English Medium ili kusudi iwe Nini?

Mbona unakwepa swali mkuu
Kusudi wapate Elimu bora. Na kujua kiingereza pia hilo sibishi kabisa.
 
Ningekuwa Rais hao wote wanao kwenda misikitini na makanisani kujambiana tu....ningewacharaza viboko wote ....misikiti wala makanisa having faida yoyote na kama kuna faida hata moja mtu aje hapa anitajie faida moja tu ya misikiti na makanisa ...maana tunda la dini ni kuwa na moyo safi na wa haki ila wanaokwenda misikitini na makanisa wanazidi kuwa na nyoyo chafu sana na wanazidi kuchukia haki ...
 
Faida ni Amani ya Moyo!
 
Siku zote tunawaambia hakuna pesa inayoshuka kama mana ya enzi hizo. Nothing comes from nothing, 'ex nihilo nihil fit"
 
They are loosing their money to nothing 🀣🀣🀣
Hapana ninyi mnaowapiga vita ndiyo losers.
Mko bitter na watu waliowazidi mafanikio. Wanapowapeleka watoto shule zinazoeleweka, mnaumia. Hivi sasa wanapokwama, ninyi mnafurahia.
Hizo ni tabia za masikini waliokubuhu!

Watu wanajaribu kuwapatia watoto wao elimu bora kuliko walioipata wao kwa matumaini ya kuwa itawasaidia. Ninyi mnachukulia kama 'anasa' kwa sababu mmekulia kwenye mazingira duni.

Hakuna raha yoyote kusoma shule yenye watoto mia tatu kwa darasa...
Hakuna ujanja mwanao kubadili daladala mbili hadi afike shule...
Hakuna ufahari kwa mwanao kushindwa Kiingereza hata cha kuombea maji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…