Ukatili kwa watoto: kwanini madrasa huwa ni kawaida kuambatana na vipigo kwa watoto, walimu hawana mbinu mbadala kuwafunza?

Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.

Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.

View attachment 2672365

Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.

Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.

Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho ?

Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Unajua watu wengi wanaona elemu ya dini ni kitu cha ziada sana ndio maana adhabu ikitolewa ktk mafundisho ya dini inakuwa inaonekana kubwa kuliko ikitolewa shuleni.

Wanafunzi shuleni wanapewa adha kubwa zaidi ya hizi, utakuta asubui unapipwa fimbo 3 za kuchewa namba. Mwalimu akiingia darasani anakupiga fimbo za jambo fulani , akiingia mwalimu mwingine kuna makosa tofauti meengi unaweza jikuta unapigwa mara nyingi lkn unaona sawa tu,

Binafsi sichukui wala siungi mkono hali ibaki hivyo hivyo
 
Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.

Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.

View attachment 2672365

Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.

Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.

Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho ?

Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Neno la huyo Mungu linatesa watu namna hii
 
Ila bora hapo,

Yupo mwingine atakuja awachome moto mabilion na mabilioni.
 
Acheni usnge watoto lazma wachapwe bakora... nyie ndo mnatengeneza kizaz cha ovyo af mnamsingizia mzungu na freemasons.. kama tunataka kubaki kwny mstari lazma taratbu zetu za malez zibaki vile vile , huu u modernization huu na haki za binadamu uchwara ndo vnatuharibia jamii yetu
 
Miongoni mwa sehemu ambazo watoto hupata vipigo vya mbwa koko ni:
1st. Madrasa
2nd. Kotas za police
3rd. English medium schools
4th. Familia za watu wenye kipato cha chini na kati
Bakora lazima ziendelee..
 
Asilimia 90 ya mashoga Tanzania ni Waislamu
Utafiti huu umeufanyia wapi? Na hata wawe asilimia 100 ya mashoga ni waislam huwezi kuta waislam wanakaa kujadili ushoga uruhusiwe ama la. Ni no no no
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 
Daah hako katoto kalikokaa katikati kamepigwa kuliko wenzie! Unaweza kuta ostaz anakalawiti hako ili kukaongezea woga ndo mana anakapa kipigo kuliko wenzake kasije toa siri nje!
 
pain makes you beleive even without your will,

Maumivu yanaweza kukufanya uamini hata bila ridhaa yako,

Naamini kuna mbinu nzuri zaidi ya kufunza haya mambo.

Hata mnyama ukimfunza kwa zawadi kama chakula na kumjali anajifunza haraka kuzidi kwa viboko.
Inabidi kama mtu hajahiari na wanataka uwe.

Pain
 
pain makes you beleive even without your will,

Maumivu yanaweza kukufanya uamini hata bila ridhaa yako,

Naamini kuna mbinu nzuri zaidi ya kufunza haya mambo.

Hata mnyama ukimfunza kwa zawadi kama chakula na kumjali anajifunza haraka kuzidi kwa viboko.
Hata kwa bible, unaona maeneo mengi Mungu kafanya anaotaka wamuamini kwa maumivu ukirudi kuanzia mwanzo mpaka sasa..
 
Miongoni mwa sehemu ambazo watoto hupata vipigo vya mbwa koko ni:
1st. Madrasa
2nd. Kotas za police
3rd. English medium schools
4th. Familia za watu wenye kipato cha chini na kati
Hiyo namba 3 ungesema shule za serikali.
 
Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.

Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.

Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.

Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.

Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho?

Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Mkuu huo ukatili upo sehemu nyingi sio ktk dini tu ila ndio hivyo watoto hawana haki duniani kama wanyama vile.
Mimi nahudika kada ya urlimishaji yaani hauo ni mazoea mabaya ila yanapungua kadiri siku zinavyokwenda. UK huwezi thubutu hio kitu utafungwa.
Africa,Asia na China ndio tunaongoza kwa ukatili wazungu wamedhibitiwa na sheria kali.
Sisi hata majumbani hali ni hio hio.
Vitabu vya dini ndio vimechochea huo ukatili.
 
Mkku huo ukatili madrasa sijawahi fanyiwa umepitiliza ila baadhi ya walimu jama ilivyo mashuleni. Hao watoto hata utambuzi bado hawana.
Bila shaka huko ni TALIBAN sidhani kama nchi zote wanafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom