HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Asilimia 90 ya mashoga Tanzania ni WaislamuInayojitambua ni ile inayoweza kuketi mezani na kujadili waruhusu ndoa za jinsia moja ama la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia 90 ya mashoga Tanzania ni WaislamuInayojitambua ni ile inayoweza kuketi mezani na kujadili waruhusu ndoa za jinsia moja ama la.
Unajua watu wengi wanaona elemu ya dini ni kitu cha ziada sana ndio maana adhabu ikitolewa ktk mafundisho ya dini inakuwa inaonekana kubwa kuliko ikitolewa shuleni.Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.
View attachment 2672365
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.
Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho ?
Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Neno la huyo Mungu linatesa watu namna hiiPost hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.
View attachment 2672365
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.
Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho ?
Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Ila bora hapo,Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.
View attachment 2672365
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.
Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho ?
Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Acheni usnge watoto lazma wachapwe bakora... nyie ndo mnatengeneza kizaz cha ovyo af mnamsingizia mzungu na freemasons.. kama tunataka kubaki kwny mstari lazma taratbu zetu za malez zibaki vile vile , huu u modernization huu na haki za binadamu uchwara ndo vnatuharibia jamii yetuPost hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.
View attachment 2672365
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.
Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho ?
Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
Bakora lazima ziendelee..Miongoni mwa sehemu ambazo watoto hupata vipigo vya mbwa koko ni:
1st. Madrasa
2nd. Kotas za police
3rd. English medium schools
4th. Familia za watu wenye kipato cha chini na kati
HatariElimu na dini ni utumwa ila ndo hakuna namna...yatupasa kuishi katika mifumo.
Utafiti huu umeufanyia wapi? Na hata wawe asilimia 100 ya mashoga ni waislam huwezi kuta waislam wanakaa kujadili ushoga uruhusiwe ama la. Ni no no noAsilimia 90 ya mashoga Tanzania ni Waislamu
Inabidi kama mtu hajahiari na wanataka uwe.pain makes you beleive even without your will,
Maumivu yanaweza kukufanya uamini hata bila ridhaa yako,
Naamini kuna mbinu nzuri zaidi ya kufunza haya mambo.
Hata mnyama ukimfunza kwa zawadi kama chakula na kumjali anajifunza haraka kuzidi kwa viboko.
Hata kwa bible, unaona maeneo mengi Mungu kafanya anaotaka wamuamini kwa maumivu ukirudi kuanzia mwanzo mpaka sasa..pain makes you beleive even without your will,
Maumivu yanaweza kukufanya uamini hata bila ridhaa yako,
Naamini kuna mbinu nzuri zaidi ya kufunza haya mambo.
Hata mnyama ukimfunza kwa zawadi kama chakula na kumjali anajifunza haraka kuzidi kwa viboko.
Hiyo namba 3 ungesema shule za serikali.Miongoni mwa sehemu ambazo watoto hupata vipigo vya mbwa koko ni:
1st. Madrasa
2nd. Kotas za police
3rd. English medium schools
4th. Familia za watu wenye kipato cha chini na kati
Mkuu huo ukatili upo sehemu nyingi sio ktk dini tu ila ndio hivyo watoto hawana haki duniani kama wanyama vile.Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala.
Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni ukatili kwao hasa ukizingatia bado wana speed ndogo ya kujifunza ila mwalimu hatilii maanani anatoa kipondo heavy.
Na mbaya zaidi unakuta wazazi wala hawana tatizo na walimu kufanya haya, hii hupelekea hata watoto kuogopa kusema kwa wazazi wao endapo mwalimu akivuka mipaka.
Hii ni mbinu mbaya kufundisha ndio maana wengi huishia kukariri badala ya kuelewa, hata mtu akiwa mtu mzima unakuta kashasahau vingi alivyojifunza madrasa.
Pendekezo langu ni kwamba kwanini kusiwe na mbinu ambazo zipo balanced kufundisha watoto kwa namna ambayo itawafanya wapende kujifunza kwa hiari na si kwa vitisho?
Kuna kujifunza kwa michezo, kujifunza kwa kuimba, kujifunza kwa zawadi, n.k. vitu hivi ndivyo wanavyopenda zaidi watoto.
We jamaa tembelea hizo shule hata kinyemela. Aisee mda mwingine bora hata za serikali walimu hawajali. .Hiyo namba 3 ungesema shule za serikali.
Dah!! Hili swali la ki philosophy mkuu...........Mungu wenu hajui Kiswahili?